Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Mwisho wa uchaguzi mkuu mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mkuu mwingine" JAKAYA KIKWETE. Je, Rais wetu 2025 awe mtu wa aina na sifa zipi? Hapa chini natoa baadhi kwa maoni yangu (nawe toa yako): Awe...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli...
8 Reactions
191 Replies
30K Views
Serikali imefanya uwekezaji mkubwa sana kwenye serikali mtandao kwa kuweka e-Services kwenye taasisi mbalimbali ila zipo changamoto zinazokwamisha malengo ya mradi huu; 1. Top management wa Idara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wakazi wa Mkoa wa Lindi kuchangamkia fursa za utalii zilizopo katika mkoa huo. Ameyasema hayo leo wakati alipotembelela Hifadhi ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black...
52 Reactions
175 Replies
13K Views
Hawa wanasiasa wawili hawatawasahau Watanzania katika maisha yao yote! Tundu Lissu alikuja nchini na ''mkwara mzito'' aliouanzia akiwa nje ya nchi alipokuwa anatoa hotuba mara kwa mara kwa...
23 Reactions
64 Replies
6K Views
Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter. Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake...
17 Reactions
222 Replies
19K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wastahiki Meya, Makatibu Tawala na Wakuu wa Idara kuhakikisha wanasimamia kikamilifu majukumu yao ikiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Congratulations to H.E @MagufuliJ, on the re-election as the #President of #Tanzania. #Israel is committed to enhancing the existing bilateral relations in Agriculture, Health, Water Mgnt...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Anasema ile sheria inayozuia mtu asiye mwalimu mkuu kuadhibu wanafunzi kwa viboko imekosewa. Rais Magufuli amesema haya... Nilikuwa nazungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, nikamwambia ulitakiwa...
41 Reactions
726 Replies
58K Views
TUUTATHIMINI USHIRIKIANO WETU NA ISRAEL. Kuna haja ya kutathmini uhusiano wetu na Israel. Na ikiwa tunataka mashirikiano na Taifa hilo lisilo na mipaka rasmi ya kijiografia, ni vema tukawa na...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwanza kabisa naomba kukiri kwamba mimi ni miongoni mwa wafanyabiashara wa Tanzania wanaofanya biashara za Kimataifa kwa Mafanikio , hivyo nafahamu biashara hasa na najua kwamba sisi...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Other interesting cabinet stats minus deputies: Full ministers – 23 19 (83%) are men 4 (17%) are women 9 (39%) are PhD holders 0 -member from Zanzibar
19 Reactions
85 Replies
10K Views
Mhe. Halima Mdee na wabunge wenzake 18 wa Chadema waliopatikana kwa njia ya viti maalum wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kula kiapo jijini Dodoma hivi karibuni Halima Mdee, alikuwa...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Tumehamia Dodoma. Ndoto ya muda mrefu imetimia. Mji wa Kiserikali utakuwa eneo linaloitwa Mtumba. Kwa maana ya neno "mtumba" ni kitu kilichotumika sio kipya anuani zote za serikali kuonekana...
2 Reactions
103 Replies
11K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Bwana Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi! Tukumbuke ni kitambo sisi tangu uchaguzi ufanyike tarehe 28/10/2020 ila ukistaajabu ya Mussa unaweza kuyaona ya Firauni. Nasikia kuna viongozi bado wanajizungusha tu mitaani...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtangulizi wako Dkt. Mwakyembe hakuwa na sababu zozote za maana za kutuambia kuhusu kuondolewa kwa Chanel za habari za ndani yaani ITV na Star TV katika king'amuzi cha DSTV hivyo kulazimika watu...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana kwa kuziangalia nchi za East Africa (EA) sisi kama Tanzania tuna kufanana zaidi na Uganda tukijilinganisha na wengine. Labda hata tungefikiria Muungano mwingine nchi ya tatu sasa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi! Iko hivi Wakati wa janga la Corona shule na vyuo vilifungwa, wamiliki wa Shule Binafsi wakaiambia Serikali kuwa hawana pesa kwa kuwa wazazi hawakulipa ada na kuwa hakuna...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…