Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe".
Mkurugenzi kafanya mengi
Kajenga Zahanati,
Kadhibiti mianya ya rushwa,
Kajenga shule za msingi
Kaongeza mapato ya...
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.
Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama...
Tukio liko mubashara TBC
Karibu.
Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.
Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la...
1. Amempongeza kwa ushindi.
2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona
3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita
4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi...
Serikali imeanzisha kampeni kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) iliyoboreshwa ili kufikia zaidi ya asilimia 20 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2021.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi...
Leo Waziri wa TAMISEMI ametangaza matokeo ya vijana waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza, ambapo zaidi ya wanafunzi 74,000 wamekosa nafasi kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa.
Jambo...
Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akizungmza na Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja na Mameneja wa Mikoa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA na kuwapa maelekezo ya...
Wote tunaendelea kushuhudia mazingaombwe ya serikali ya awamu tano chini ya Rais Dr John Pombe Joseph Magufuri kuhusu sheria za nchi hasa pale inapozungumzwa tofauti;
Tulishuhudia Mitandao ya...
Ninauhakita kwa sasa Sio CCM pekee bali anaechukiwa ni mgombea wao.
- sijui mikakati gani CCM wanayo huko maana kwenye sanduku la kura mchuano utakua mkali sana .
Jionee mwenyewe mapokez ya lisu...
Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu.
Ameishangaa kuengua wagombea wa...
Baraza la Wanawake wa Chadema limekanusha kuitisha kongamano lolote linalohusiana na BAWACHA , hivyo halitambui kongamano lolote litakalofanywa kwa kutumia jina lao.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi amekataa hoja ya Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo aliyotaka waendesha Bajaj na pikipiki waruhusiwa kupakia abiria hadi wanne na kumtaka Mbunge huyo...
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili lakuonekana kubebwa wazi wazi na familia ya ya Rais hadi kufikia kumfanya kijana mdogo Riz 1 kama mshauri wake na swaiba wake wa karibu ilihali hata kiumri...
HOTUBA YA MH. TUNDU LISSU ALIYOTOA BAADA YA KUPOKEA TUZO YA KUPIGANIA UHURU, HAKI NA UTAWALA BORA ( BUSH - THATCHER AWARDS FOR FREEDOM) KUTOKA UMOJA WA VYAMA VYA KIDEMOKRASIA DUNIANI (IDU)...
Hali ya Mkandarasi YAPI MERKEZ ya Uturuki ambaye anajenga reli ya SGR si shwari hata kidogo kwa maana ameishiwa fedha na kushindwa kuwalipa Wazabuni wanaotoa huduma katika mradi huo. Wazabuni ni...
Jambo kubwa nililojifunza kutoka Chama Cha Mapinduzi, ni kuwa ni Chama chenye uwezo thabiti wa kuiongoza Dola ya Tanzania, kwa maana kimejipanga vizuri katika kila nyanja. Mathalani ukiangalia...
DIPLOMASIA YA KIUCHUMI BAINA YA CHINA NA AFRIKA
Tarehe 14/12/2020.
Mahusiano ya China na Nchi za Kiafrika yanarejewa kwanzia karne ya 7 bk (baada ya Kristu) hadi sasa. Kwasasa China imekua na...
USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA
Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi...
Na Berna Namata
Dodoma, Tanzania
Tanzania haitaagiza kinga ya kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, Wizara ya Afya imesema.
Badala yake, msemaji wa Wizara ya Afya Gerald Chami alisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.