Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila mwaka idadi ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza na kidato cha kwanza inaongezeka, na itaendelea hivyo kwa miaka mingi ijayo. Kuongeza madarasa na kununua madawati mapya kila mwaka siyo...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Hivi mkiongea na wananchi kwa sauti Ya kistarabu na heshima mnahisi hawatoelewa?? Mana kila kiongozi anaongea kwa sauti ya ukali tu na vitisho.
1 Reactions
2 Replies
599 Views
UBEBARI NAMNA ULIVYOJIKITA KUJENGA NGUZO YA UTANDAWAZI. Na Elius Ndabila 0768239284 Historia inatufunza kuwa ubepari kama mfumo wa mahusiano ya kijamii hushamiri na kuendeshwa kwa kutegemea...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa Nini mtu aondoke madarakani taasisi inyong'onyee? TAMWa, TLS na taasisi nyingine zinazitetea haki Tanzania zinakufa taratibu kwa kukosa watu wanaoweza kuyaona matatizo ya wananchi kwa upana...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Uchaguzi umeisha salama. Serikali imeanza kwa kishindo Kutekeleza ahadi zake kwa Watanzania. Mradi huo wa Maji wa Bwawa la Maji Farkwa unaojengwa Kijiji cha Mombose, Wilayani Chemba Mkoani...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwanza. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema daraja la Kigongo- Busisi limepewa jina la Rais John Magufuli ili aendelee kukumbukwa milele kutokana kazi kubwa aliyoifanya kwenye utawala wake...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida, ambacho sijawahi kukiona katika miaka ya nyuma katika tawala zilizopita, kwa kuyabakiza mabango kwa maelfu yanaendelea kuwepo sehemu mbalimbali nchini, wakati...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA: POLISI WAVAMIA MKUTANO WA NDANI WA UCHAGUZI WA JUMUIYA CUF HANDENI: Jeshi la Polisi limevamia Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya za CUF- Chama Cha Wananchi- Jumuiya ya Wanawake...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Ieleweke tu kwamba hakuna jiwe litasimama bila kugeuzwa....
32 Reactions
133 Replies
19K Views
Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
DC KIHONGOSI wa Arusha amekosea Huku ni ulevi wa madaraka na unyanyasaji wa RAIA walioipa dhamana Serikali Adhabu ya Viboko (corporal punishment) ni moja ya Adhabu zilizowekwa na Sheria za Jinai...
8 Reactions
33 Replies
5K Views
Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akimkabidhi rasmi ofisi Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki mji wa Serikali Mtumba Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Pauline...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Sultnan Maginga V Republic (1969) moja kati ya kesi maarufu sana ya jinai (Criminal cases) inayomuhusiha bwana Sultan Maginga dhidi ya jamhuri ambapo bwana Maginga Alishtakiwa kwa kesi ya kumuua...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Nikuu kutoka maktaba: Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu namna sakata la wizi wa fedha kwenye akaunti ya Escrow linavyoshughulikiwa, huku wengine wakisema umefika...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
HALI IKIENDELEA HIVI, RASMI NITAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Mimi ni moja ya aina za watu ambao wana misimamo isiyoyumba, wenye kupenda ukweli na kupenda haki na...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Hiyo video ni ziara ya Amin nchini Kenya, alipokelewa na Jomo Kenyatta. Je, huyu rais wa nchi jirani katika utawala wake aliwahi kufanya ziara katika nchi yetu Tanzania? Naomba kujuzwa.
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom