Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hiyo video ni ziara ya Amin nchini Kenya, alipokelewa na Jomo Kenyatta. Je, huyu rais wa nchi jirani katika utawala wake aliwahi kufanya ziara katika nchi yetu Tanzania? Naomba kujuzwa.
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Wanabodi, miaka ile wenye pesa walikuwa na uwezo wa kukutandika vibao na kukulaza lupango ukasota mpaka watakapoamua kukutoa. Leo hii ile kauli ya watu kukuuliza "Unanijua mimi nani? imekwisha na...
11 Reactions
54 Replies
5K Views
Amani iwe kwenu wadau wa JF. Kama mlivyosikia amri ya waziri mkuu kutaka kujua bei za magari makali walionunua wakurugenzi. Hii inafuatia kuwekwa pembeni kwa Mkurugenzi wa Geita aliyenunua ndinga...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari mwanaJF. The home of great thinkers. Duniani kote katika nyanja ya siasa kuna mambo na mikakati ambayo ni lazima ipangwe na kutekelezwa ili kuweza kufanikisha matokeo chanya kwa wapanga...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajamvi naweza kuwa niko kwenye jukwaa lisilo sahihi (Jukwaa la Siasa) kwa kuposti mada hii, na kama ndivyo mnisamehe tu lakini kwa kuwa JF ni jukwaa huru la watu kupashana habari, kupeana...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimejaribu kufuatilia uwezo na uelewa na mwenzetu huyu katika arena za kimataifa ni zero na uwenda akafanya vituko kama vya ndugu Mulugo aliyekuwa naibu waziri wa elimu kuwa Tanzania ni muungano...
10 Reactions
764 Replies
85K Views
Ikumbukwe kuwa RC Chalamila na DC Kihongosi ni wazaliwa wa Iringa na makada waliotukuka wa CCM. Awali RC Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa kabla ya uteuzi na DC Kihongosi alikuwa...
5 Reactions
55 Replies
6K Views
Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya. Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili...
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara...
14 Reactions
37 Replies
4K Views
Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri? Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa? Jamani naomba...
-1 Reactions
19 Replies
1K Views
Sijapendezwa na kelele za malalamiko ya raia kuhusu kuonewa na vyombo vya serikali. - Takribani mwezi mmoja na nusu uliopita kumekuwa na sauti kali sana ya vilio vya raia kulalamika kuhusu TRA...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Salaam,nimeskia katika Radio moja ikisoma Magazeti kuwa Tahariri inamlaani Dr(mb)Hamis Kigwangala kugomesha madaktari wenzake, Napenda mnisaidie kujua ni sawa kwake kama Mbunge kfanya hivyo?au...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka wananchi wavumilie anapokwenda kuchukua maamuzi magumu ili kukomesha ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma Zanzibar Amesema hayo eleza hayo alipokuwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la...
27 Reactions
182 Replies
21K Views
Rais Magufuli nilikusema kuhusu miradi inayoeendelea chato kupitia uzi huu Miradi inayoendelea chato inahitaji mjadala wa kitaifa ila sikujibiwa kilichofuata ni mimi kutukanwa na wafuasi wako...
22 Reactions
57 Replies
5K Views
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE UTANGULIZII 1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa...
45 Reactions
414 Replies
45K Views
Wakati Tanzania tukiwa mbioni kupeleka balozi wetu Israel, Afrika Kusini imeamua kumwondoa balozi wake Israel kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya...
21 Reactions
234 Replies
20K Views
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ziara yake ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila nikikumbuka kauli hii ya aliyekuwa mbunge wa Nyassa John Komba RIP aliyoitoa bungeni kwamba CCM ni kama Kokoro huwa inanitafakarisha sana. Sasa kama CCM ni kokoro chama kikuu cha upinzani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga...
5 Reactions
121 Replies
13K Views
Back
Top Bottom