Kuna kitu watanzania walikimiss ndani ya hii miaka mitano na ndicho wanachokitafuta

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,638
5,142
Ninauhakita kwa sasa Sio CCM pekee bali anaechukiwa ni mgombea wao.

- sijui mikakati gani CCM wanayo huko maana kwenye sanduku la kura mchuano utakua mkali sana .

Jionee mwenyewe mapokez ya lisu kwenye strong hold ya maghufuli kanda ya ziwa.
Its like watu wanataka inchi ikombolewe. Ikombolewe dhidi ya nani? Maghufuli. Kuna kitu maghufuli hakufanya sawa. Kuneglect maisha ya waliomchagua. Sisemi hawezi kushinda , lakini wananchi hadi wa nyumbani kwake geita wamemtumia ujumbe ambao ni clear
 
Kumchagua Magufuli ni sawa na kuomba kifo. HAFAI.
 
Back
Top Bottom