mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Jf oyee
Kwako Dkt. Ndugulile, vyombo hivyo Hapo juu vimekuwa vikilalamikiwa kwa kutokuwa makini, kweli vyombo hivi vinatumia gharama Kubwa kuwepo huku ufanisi Wa kazi upo chini sana.
Nikianza na TRA, hawa wanaruhusu kuingia kwa vifaa ambavyo havina certificate of compliance. Hi yo kuruhusu vifaa feki ku endelea kuuzwa maduka Zipo redio feki, simu feki , kitu kikiwa kwenye box kina barcode kuonyeshs data kamili za ubuni wake inakuwaje kiwe mtaani mnakiona hakina barcode kinauzwa?
TBS, hawa wanatumia gharama kubwa kuingiza vifaa vya kuangalia ubora lakini maduka yanayouza vifaa vya telecom wana vifaa feki vingi. Hawa jamaa nawafananisha na walionunua vifaa vya covid 19 maana kila kifaa kinapitishwa kama bora. Tanesco wamepigwa mita mpya za luku. Ukienda workshop utazikuta nyingi tu zimeharibika. Bado kile kidude cha transmitter kikidondoka tu kioo kichaharibika kupata kipya elfu 70. Tanesco waliondoa mita za digital button kukomoa watumiaji maana zile zilikuwa zinakaa miaka hadi kumi lakini za leo zikikaa miezi sita shukru Mungu. Hizi mita zinatabia yakujilock mara kwa mara. Tanesco kuja kukufikia uaunlock wiki inapita. Hizi mita ni mawasiliano tosha kwa kuwa nazo ni radiocomm.
TCRA hawa ni wazee wa matamko, juzi juzi wamekalia kimya kuibiwa data. Vodacom baada ya uchaguzi walituibia sana, ukienda kwenye switchboard utakuta orodha ndefu ya wanaolalamikia kuibiwa bata. Voda wizi wameuficha kwenye vifurushi vya ofa. Ukilalamika wwnakwambia ofa haina record inaweza bad. ishwa bila kujulishwa. Kingine TCRA imekuwa na mikutano mingi na mafundi simu wakiwasisitiza kusoma, kila mwaka inatoa vitisho alafu haifanyi.
Juhudi kubwa zinakwamishwa na vishoka ,vishoka wanatumia vitambulisho vya machinga kuweka vimeza nje. Jinsi ya kuwaondoa, tanesco inatakiwa kukataza extension za umeme kutoka nyumba kuu kwani ni hatari kwa milipuko. Polis I itenge kikosi cha Lusaka vyeti ikishirikiana na vijana wanachama Wa PTT kill ichosajiliwa kama chama cha mafundi Simu.
Ikiwezekana Hawaii watu wakamatwe kwani ndio mabingwa Wa kutoogopa kubadiri IMEI Hawaii hawana cha kupoteza hivyo ufanya uharifu mkubwa na ndio wanachochea wizi Wa Simu. Kingine Serikali iliacha kufuatilia Simu zinaitwa feature phone. Hizi ziko duplicated vibaya mno.