Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu.
==========
TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah...
Katika zawadi nzuri aliyotupatia Rais na Serikali ya muhula huu wa awamu ya Tano ni kuanzisha wizara inayosimamia TEHAMA. Uchumi wa dunia na wa nchi yetu unabebwa na TEHAMA kutokana na sababu...
Kila mkuu wa mkoa nchini ameagizwa kujenga viwanda vipya 100 katika kipindi cha mwaka mmoja kinachoanzia Desemba 2017.
Akizungumza na wakuu wa mikoa wapya walioapishwa juzi Ikulu jijini Dar es...
Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema sera ya ujenzi wa viwanda inatekelezwa kwa vitendo na mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 1,280...
Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na...
Salaam Wakuu,
Kwenye Mitandao ya Kijamii (hasa Twitter), kuna habari (picha) zinasambaa kwamba ni Miili ya watu iliyotupwa Baharini huko Pemba Wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020.
Picha...
Hi!
Straight kwenye mada.
Mkuu wa Polisi nchini na Mkuu wa Majeshi wanapiga salute kwa Mbunge na Mkuu wa Wilaya ?
Yaani IGP Simon Sirro na Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo wanampigia salute DC...
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya...
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero...
Mheshimiwa Rais heri ya sikuu za mwisho wa mwaka.
Leo nina ombi moja kubwa kwako kama kijana ninayependa kutunza utu wako na image yako takatifu mbele ya jamii maana kuna tumaneno tumeanza...
Siku hizi baadhi ya wakuu wa mkoa na Wilaya nyuma yao kuna vijana au kijana mwenye miwani meusi ambaye kwa tafsiri ya mkao wake nahisi ni mlinzi. Si wakuu wote wa Wilaya Wala mkoa wenye watu nyuma...
Tunarudi tena jukwaani wana JF kutoa shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Rais Magufuli kwa kutupatia kiongozi bora wana Temeke; Ndg. Godwin Gondwe ambaye siku ya jana(tar 24/12/2020) alifanya ziara...
Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa...
Siasa Tanzania imekuwa zaidi ya uadui ni vita vya maangamizi kabisa. Mwaka 2015/11/14 Kamanda Alphonce Mawazo aliuawa kikatili hatua chache kutoka kituo cha polisi katoro saa nne asubuhi. Alikatwa...
Rais Dkt John Magufuli leo ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata Chamwino mkoani Dodoma kusali Misa Takatifu ya Krismasi ambayo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa...
Wana JF.
Ukiangalia kwa umakini unaweza kuona maDED kama wameonewa vile kwa sababu chama chenyewe kupitia katibu mwenezi mstaafu ndiye kinala wa uchochezi kwa matumizi mabaya ya fedha za umma...
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.
Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo...
SCHOOL FEES: PRECIOUS SCHOOLS INAKOMOA WAZAZI
Kwanza ni pole kwa wale wote ambao kwa namno moja wamepoteza ndugu zao wapendwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Korona. Mwenyezi Mungu awape roho ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.