Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,195
- 1,417
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote.
Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono Dr. John Pombe Magufuli inasomeka kama ifuatavyo:-
1. HUDUMA ZA JAMII
Zimeanzia kutajwa kwenye ukurasa wa 124 - 150
2. HUDUMA ZA AFYA
Zimeanza kutajwa Ukurasa wa 131
3. BIMA YA AFYA KWA WOTE
Imetajwa Ukurasa wa 136 (e)
Nayo inasomeka kama ifuatavyo naomba kunukuu;
"Kuimarisha Mfumo wa Bima ya Afya Nchini. Ikiwemo Mifuko ya Bima za Afya (NHIF & ICHF) Ili kufikia lengo la serikali la kuwa na Bima ya Afya kwa wananchi wote".
Kusema Bima ya Afya kwa wote ni kauli ya jukwaani ni uongo mkubwa tuikemee kwa nguvu zote.
USHAURI
Kwasababu JF kuna wataalamu wa kila fani ni wakati sasa wa kuishauri Serikali namna ya kufikia lengo hilo. JF imekuwa ikiisaidia Serikali kwenye maeneo mengi. Ni wakati sasa tuirudishe JF ya miaka ileeeee! The Home of Great Thinkers.
Karibuni tujadiliane.