Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hi to all jf members, I hope you are all doing good. Lengo la kuandika hii kitu hapa ni kwamba ni mda mrefu sasa nimekuwa nkitafakari hivo tafakuri yangu ningeomba kuiwasilisha kwa maandishi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali. Hebu tazama...
16 Reactions
82 Replies
10K Views
Tukio la hivi karibuni la Rais Magufuli kutoa agizo la kuzuia "uvunjwaji" wa hoteli kubwa ya nyota tatu, inayomilikiwa na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya, maarufu "Sugu", linaibua hoja mbalimbali...
20 Reactions
102 Replies
11K Views
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha Reli ya kisasa nako nasikia...
24 Reactions
164 Replies
18K Views
Habari wana bodi, Baada ya makala kadhaa za harakati za viongozi na vigogo katika awamu hii ya 5 jimboni Iramba leo macho yangu nayaelekeza Jimboni Ukerewe, hili n jimbo toka mkoa wa Mwanza, ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa utangulizi tu ni kuwa tumetoa watu muhimu katika serikali hii ya awamu ya 5, Jaji MKuu wa Tanzania Mr. Ibrahim Hamis Juma ni mzaliwa wa Musoma Mjini pale Mukendo, IGP Mr. Simon Sirro yeye ni...
9 Reactions
109 Replies
15K Views
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya? Je,walitawahi tangaza kuahirisha? Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Mh Rais ni kweli kuwa sasa umehamia Dodoma na utakuwa unakuja hapa kama mji wa kwaida sio mji mkuu kama zamani . Tangu uondoke hapa Dar kumekuwa na matatizo maana waliogopa uwepo wako sasa mambo...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanabodi kabla sijajikita kwenye mada husika naomba niwaweke sawa kuwa upinzani hapa Bongoland umekufa sababu ya CCM kujirekeibisha na kufanya yale watanzania walikuwa wanayatarajia kwa muda mrefu...
9 Reactions
72 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi. Rais Magufuli ambaye Tanzania na dunia kwa ujumla imemjua na kumwogopa kama rais mwenye kasi zaidi ametoboa siri ya mafanikio yake. Rais Magufuli amesema katika safari yake ya...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Nawasalimu wanabodi wa JamiiForums Usiku wa kuamkia leo akili yangu ilinigomea kupata usingizi na hivyo kukaa macho almost the whole night. Nilikuwa nikimkumbuka mtu jasiri na mpambanaji wa...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Hakika tumejionea jinsi uchaguzi wa Tanzania ulivyokuwa tulivu na amani na ndiyo kitu kila mtanzania huwa anakiota maana pasipo na amani maendeleo huwa ni ndoto. Sasa kwa hawa ndugu zetu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini...
26 Reactions
100 Replies
11K Views
Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z. Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni. Alipoibua...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na...
49 Reactions
132 Replies
14K Views
Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliuliza kuhusu Bodi ya Korosho inadaiwa kufanya korosho ufisadi wa bilioni 30 ila serikali haijatoa tamko, serikali inasemaje kuhusu ubadhirifu huo hasa kwa mikoa ya Mtwara na Lindi Waziri mkuu...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau. Story kubwa ni kijana ambae...
5 Reactions
75 Replies
8K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, amesema hatua anazochukua hazilengi kumtafuta wala kuonea mtu, bali zinalenga kuleta nidhamu katika matumizi ya fedha za...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom