Upinzani wa kweli upo Zanzibar tu, Tanganyika kuna wachumia tumbo

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,042
Katika watu ambao hutakiwi kuwaamini dakika moja mbele ni Watanganyika hawaminiki kwa kitu chochote ni walaghac mabazazi,waongo wenye tamaa zisiso koma

Hawamiki katika kitu chochote ni wao wanaokwamisha harakat za Wazanzibar chukua mifano hii

Mapalala
Mrema
Lowassa
Sumaye
Cheyo
BAVICHA
Lipumba
 
Sefu akiingia ataingia kwa amri ya Chama chake Sefu kesha samehe madaraka mara kadhaa nafkr ww ni mgeni ktk siasa zetu
Sawa..

Ninakukumbusha tu ACT Ni SEIF na SEIF Ni ACT....

Hakuna amri juu ya Kichwa Cha SEIF....

Usiongope muda huu hata wanga hawajaanza kufanya YAO 🤣🤣
 
Weka akiba ya Maneno utashangaa kati ya mwezi huu ama ujao Maalim Seif ataapa Kama Makamo wa Kwanza wa SMZ
Wazanzibar hawajawahi kukisaliti chama chao wasikivu na siwasaliti Maalim akienda ni kwa ridhaa ya Chama chake
 
Sawa..

Ninakukumbusha tu ACT Ni SEIF na SEIF Ni ACT....

Hakuna amri juu ya Kichwa Cha SEIF....

Usiongope muda huu hata wanga hawajaanza kufanya YAO
Sefu ni JABALI LA SIASA wazanzibar wamemkubali kwa Tanzania hii hakuna wanachama wenye nidhamu na utii kuliko wanachama wa Maalim ndio maana anawatesa figisu zenu siku zote zagonga mwamba HAWAJAWAHIPO KUSHINDWA
 
Sefu akiingia ataingia kwa amri ya Chama chake Sefu kesha samehe madaraka mara kadhaa nafkr ww ni mgeni ktk siasa zetu
Huna ulijualo bwana mdogo!

Huyo sefu ni kivuli cha maigizo tu. Hakuna mpinzani pale.

Kuna siku utarukwa na akili ukigundua hata Lissu anatumiwa na CCM kimkakati.

We unapambana humu mpaka unavunjwa kiuno na askari, wenzako wanagonga mvinyo wanakuzoza kisogoni.

Pole.
 
Huna ulijualo bwana mdogo!

Huyo sefu ni kivuli cha maigizo tu. Hakuna mpinzani pale.

Kuna siku utarukwa na akili ukigundua hata Lissu anatumiwa na CCM kimkakati.

We unapambana humu mpaka unavunjwa kiuno na askari wenzako wanagonga mvinyo wanakuzoza kisogoni.

Pole.
Huna ujuwalo ww angalia wewe mpayukaji

Seif amesamehe Uwazir Kiongozi
Amesamehe umakamo wa kwanza
Yote hayo kwa MASLAHI MAPANA YA WAZANIBAR
HAJAWAHI TUSALITI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom