Naomba ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
156
1,000
Ninawasalimu ndugu kwa Jina lile lipitalo Majina yote.

Mada yangu ni kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma ambao Serikali ilijinasibu kuujenga tangu Rais Magufuli ameingia madarakani.

Awali ya yote naomba niweke kumbukumbu sawa hapa kulingana na muda,

Msalato International Airport (Swahili: Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato) is a proposed international airport project intended to serve the Tanzanian capital of Dodoma. The airport is set to be upgraded from Code 3C to 4C making way for big aircrafs. Not only will the airport be expanded but repaired as well. The runaway which was earlier 2.5km is now 2.75km, addiion of 250 m has been added. (Source: WIKIPEDIA).

Project Name: Construction of the new airport (Msalato Airport)
Donor/Financier:Government
Contract No.:Will be known after Contractor is procured
Project Cost:Will be known after the Contractor and/or Consultant are procured
Contractor:Contract not signed yet
Supervision:Engineering & Technical Services Department –TAA
Scope of worksCompletion of construction of peripheral road (about 8km) to gravel standards
Budgeted amount (in millions)TShs 1,000.00
Amount spent (in millions)Nil
Performance progress statusPreparation of Tender Document for works completed.

Challenge
No funds received from Treasury, hence no procurement has commenced
Source: Tanzania Airports Authority 2013

The African Development Bank‘s Board of Directors has approved a $272.12 million loan to Tanzania which will be used in the construction of a new international airport in the capital city of Dodoma; Msalato International Airport.

The new site will be built within the district of Msalato, 12km from the capital.

The funding is comprised of a $198.6 million loan from the African Development Bank, $23.52 million from the African Development Fund (ADF) and $50 million in co-financing with the Africa Growing Together Fund (AGTF).

The project will focus on the construction of high-capacity airport infrastructure in order to meet and accommodate the predicted growth in air transport due to the city’s new role as the administrative capital of Tanzania.

Construction is expected to take four years and will include a passenger terminal, a runway and the installation of air navigation equipment. Other operational features – a fuel distribution company, water supply systems, electrical power distribution substations and a fire-fighting service – will also be included.

Expected annual capacity for the new Msalato International Airport is approximately 50,000 aircraft and one million passengers, most of which are predicted to be international. The airport will benefit over 200 million passengers in East Africa, as well as international trade networks – particularly business travellers and tourists.

The Director of the Bank’s Infrastructure and Urban Development Department, Amadou Oumarou, said: “An expanded air transport network in Dodoma, together with the ongoing high-speed railway construction on the central corridor, are necessary infrastructure investments to help unlock and disperse spatial development in the countryside. This will strengthen the city’s potential as a strategic growth pole in keeping with Tanzania’s national development aspirations of fostering shared growth for all the regions.” Source: Tanzanian News, January 2, 2020.AfDB YAIPATIA TANZANIA TRILIONI 1.14 KUJENGA UWANJA WA NDEGE WA MSALATO NA BARABARA YA LAMI BAGAMOYO HADI MALINDI


By Emmanuel Mbatilo

March 13, 2020

Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrka (AfDB) zimetiliana saini mikataba ya mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani Milioni 495.59 (sawa na shilingi trilioni 1.14) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu ya maendeleo ikiwemo Uwanja wa Ndege wa Msalato, Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo – Hororo/Lungalunga – Malindi kwa kiwango cha lami pamoja na msaada wa kibajeti kwa ajili ya kuendeleza utawala bora na sekta binafsi.

Akizungumza katika hafla ya kutia saini mikataba hiyo kwa niaba ya Serikali, Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, amesema mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Msalato ulioko mkoani Dodoma umepata dola za Marekani milioni 271.63, mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Hororo na Lungalunga hadi Malindi umepatiwa dola milioni 168.76 huku program ya utawala bora na kuendeleza Sekta Binafsi ukipata msaada wa dola milioni 52.2

“Mkopo huu wenye masharti nafuu umetolewa na Benki hiyo kupitia dirisha la Benki ya Maendeleo (ADB Window) kiasi cha dola milioni 198.63, kiasi cha dola za Marekani milioni 246.96 kimetoka dirisha la Mfuko wa Maendeleo wa Benki (ADF Window) na kiasi kingine cha dola za Marekani milioni 50 zimetoka katika Mfuko wa Serikali ya China unaosimamiwa na Benki hiyo (Africa Growing Together Fund)” alifafanua Bw. James

Alisema mkopo huo utaongeza kiasi cha fedha ambacho kimetengwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa miundombinu ya uchukuzi nchini Tanzania, kutoka dola za Marekani bilioni 1.03 (takribani sh. trilioni 2.37) hadi dola za Marekani bilioni 1.47 (takribani shilingi trilioni 3.77), hivyo kuifanya sekta ya uchukuzi kunufaika kwa asilimia 70 ya misaada na mikopo yenye thamani ya Jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1.

Project Summary​

Approval Date18 Dec 2019
Signature Date13 Mar 2020
Planned Completion Date31 Dec 2024
Sovereign / Non-SovereignSovereign
SectorTransport
DAC Sector Code21050
Environmental Category1
CommitmentU.A 140,693,729.24
StatusImplementation


Maelezo ya hapo juu yanaonyesha dhahiri kuwa Serikali ilikwisha pata Mkopo na Mradi upo kwenye hatua ya utekelezaji kwa ujumla. Sasa kama mradi upo hatua ya utekelezaji najiuliza,

1. Je tenda ya Ujenzi ilitangazwa lini?

2. Kama ilitangazwa nani ameshinda tenda?

3. Je uwanja huu utaanza kujengwa lini?

4. Wale waathirika wa Mradi ni lini watalipwa fidia maana kumekuwa na uhakiki usioisha na matumaini ya Wanyonge yasiyofutwa machozi juu ya kulipwa fidia yao?


Wagogo wanauliza, wasubiri uwanja kujengwa au Fedha ya Mradi huu tayari imepelekwa kuboresha Chato?


NB:
Nikukumbushe tu, kuwa wakati wa Kampeni 2020 pale MSALATO ulipita kama Msahale licha ya Wananchi kukusubiri kuanzia Saa 12 Asubuhi wakueleze Kero zao. Mbunge wako aliposimama naamini unajua kilichomkuta.


Nawasilisha
 

Huliza

JF-Expert Member
May 5, 2017
312
1,000
Endelea kusubiri

Mambo mazuri hayataki haraka

Kwani fisi si wapo wa kupanda

Wagogo kihistoria wanasafiri kwa kukaa juu ya fisi au wewe ni Dot Com
 

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,096
2,000
Mtakufa mwaka awamu hii wapinzani wote mpaka mlie UP!!

Majina mtayabadili yawe chato,chato,chato,n.k.
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,147
2,000
Spika Ndugai alisema "tutamwongezea apende asipende". Uwanja utajengwa tuu hata 2030.
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
10,778
2,000
Jamaa yenu ubongo wake ni clinically dead mzee....

Hua nashangaa watu wanapoteza muda kumuongelea,wacheni amalize muda wake wa wizi asepe,if at all atasepa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom