Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Kwa muda mrefu sasa ndugu Tundu Lissu ama yeye mwenyewe au wapambe wake amekuwa akivimisha mambo yasiyowezekana ili mradi kuwapa wafuasi wa CHADEMA ambao kimsingi uelewa wao wa mambo ni hafifu.Mambo hayo ni kama ifuatavyo;
Mosi, toka enzi za JK na sasa JPM amekuwa akihadaa kufungua mashitaka katika mahakama ya ICC au ICJ. Na kupitia mwanasheria wa Tundu Bwana Robert Amsterdam aliwahakikishia wafuasi wa Chadema kuwa weshafungua kesi ICC na muda wowote kesi inaanza.Kama kawaida,wajinga walishangilia na hadi sasa wanasubiri kutoa ushahidi.
Pili, kuhutubia Bunge la Ulaya, Tundu Lissu na wapambe wake kwa makusidi wakijua wafuasi wa CHADEMA hawana uelewa walihadaa kuwa Tundu kaalikwa kuhutubia Bunge la umoja wa ulaya jambo ambalo sio kweli.
Tatu, kugombea ukatibu Mkuu wa UN, inaeleweka kwamba muda wa kipindi cha kwanza cha miaka mitano kwa katibu Mkuu wa UN ndugu Antonio Gutierrez kinaisha mwaka huu na anaweza kugombea kwa mara ya pili. Tundu na wapambe wake kwa makusudi wameanza kuvumisha kuwa "niyeye" anahombea ukatibu Mkuu UN.Je Tundu amepewa "endorsement" na serikali ya Tanzania? Je ni zamu ya bara la Afrika kutoa katibu Mkuu UN?
Itoshe tu nimalize kwa kuwashauri wafuasi wa CHADEMA kuwa msiwe kama mbayuwayu "akili za kuambiwa changanya na za kwako"