Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,463
2,000
Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao.

Habari zaidi soma Mwananchi online.

Nyoka wanatabia ya kula mijusi ila wakikosa mijusi wanakulana wao kwa wao. Usiku mwema
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,239
2,000
Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao...
Hao wanatafuta kiki tu uchaguzi umeisha badala ya kufanya kazi mnaanza kutifuana tena
 

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
670
1,000
Kwa mujibu wa taarifa kutoka CCM Viongozi hao 50 wanatuhumiwa kukihujumu chama hicho wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyila Oktoba 2020.

Hujuma hizo zilipelekea kupungua kwa idadi ya kura alizopata Mgombea Urais wa Chama hicho baada ya matokeo kutangazwa

MCL
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom