Ni Tanzania tu au hata nchi nyingine za Afrika wawekezaji wanalalamika kodi kama Tanzania

chawa wa mama

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
292
1,082
Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya wawekezaji wa Tanzania kukwamishwa na TRA ktk kukokotoa makadirio ya kodi, na malimbikizo ya kod. Na gharama za kuagiza bidhaa yoyote nje ya nchi ni kubwa sana.

Mamlakani kama TBS, NEMC, BRELLA na TMDA na wenzao wamekuwa wakikwamisha wawekezaji kuzungusha kutoa vibali.

Malalamiko ni mengi sana, je ni Tanzania tu au nchi gani zina unafuu ktk kushughulikia mwekezaji na kumpa favour na ulinzi kama mwekezaji? Hasa ktk nchi za Afrika?
 
Ujanja ni kuwekeza nje ya nchi kuliko kusumbuana na hawa majitu
Hiyo ndio hoja yake; huko nje ya nchi usumbufu ni kama hapa au kuna nafuu? Probably ili aweze kukimbilia huko kama nafuu ipo!
 
Back
Top Bottom