Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi milioni 660 kwa Chuo cha Ualimu Mpwapwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Maktaba na Maabara za masomo ya Kemia na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu. Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga...
13 Reactions
199 Replies
22K Views
Mkuu wa wilaya Shinyanga, Jasinta Mboneko, ameuagiza uongozi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, kuwachukulia hatua kali za nidhamu walinzi waliohusika kwenye tukio la kumpiga mwananchi Daudi Lefi...
5 Reactions
79 Replies
8K Views
Imekuwa ni kawaida sana katika mitaa mingi hapa Dar es Salaam kuanzisha Bar zinazopiga muziki kwa sauti ya juu. Mimi sio mtalaamu wa sauti lakini kitendo cha "mabaa" yaliyo karibu na makaazi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, baada ya kumkuta na hatia ya...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
Mfano nchi ikitoka uchumi wa kati ikarudi nyuma inautwa nchi ya uchumi gani? Sifa au vigezo vinavyoweza kuishusha nchi kutoka uchumi wa kati vipi? Siku nchi inaposhuka Nani anatangaza na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dar es Salaam, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akisumbuliwa na homa kali. Akizungumza na...
3 Reactions
80 Replies
17K Views
Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameagiza halmashauri zote nchini Tanzania, kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekaa chini kwa kukosa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Members,Baba yake Freeman Mbowe pamoja na Rupia hao ndio walikuwa matajiri wakubwa na wakutisha enzi za mkoloni Mwalimu Nyerere na Chama cha TANU hawakuwa na pesa za kwenda ulaya Kushawishi nchi...
27 Reactions
170 Replies
25K Views
Kichwa cha habari kinahusika. Tunaamini hawa ni viongozi wakuu katika viongozi. Hatuwaoni, hatuwasikii hata kuhimiza kuchukua tahadhari kwa wananchi. Sikusudii kutoa matamko ya kiserikali...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Lawama na malalamiko yameibuka nchini kufuatia kitendo cha Rais John Magufuli kuonekana ameenda likizo nyumbani kwake Chato mkoani Geita, katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na janga la...
7 Reactions
94 Replies
18K Views
Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar. Akiwasilisha maoni ya...
5 Reactions
83 Replies
13K Views
Kaongezea kwamba kuna maswali inabidi waulizwe watu wa Tanganyika na Zanzibar; 1:je munahitaji muungano? 2:je muungano aina gani munao utaka?. Kasema hiyo ndo itaiondoa ile zana ya kwamba huu...
9 Reactions
131 Replies
15K Views
Ni dhahiri sasa mambo hayatakuwa sawia huko mbeleni. Sera tulizo nazo hazioneshi dalili za matumaini ya uchumi wetu. Kwa sasa Serikali imefikia kikomo cha makusanyo, na hali inavyoendelea...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo. Lakini sasa hali imekuwa...
29 Reactions
75 Replies
6K Views
TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa CUF- Chama Cha Wananchi Prof. Ibrahim H. Lipumba , kwa kutumia Mamlaka yake ya Kikatiba, amemteua Mheshimiwa Mbarouk Seif Salim kuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya vurugu zilizofanywa na waandamanaji waliovamia Bunge la Marekani kwa Lengo la kulilazimisha Bunge la...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
MSOMI maarufu nchini, Profesa Benson Bana na mwanasiasa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore wamesema maandamano yaliyopewa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta...
2 Reactions
83 Replies
11K Views
Habari wanabodi Nyota ya Katibu mkuu wa CHADEMA inazidi kung'aa baada ya mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam Proffesor Benson Bana kusema kwamba mwanasiasa mwenye nguvu kwa sasa anayeweza...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Back
Top Bottom