Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekiri kuwakamata viongozi wa Umoja wa Wahitimu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT, ambao wamekuwa wakitaka kuandamana kwenda Ikulu kumuona Rais...
Mkurugenzi wa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje, Emmanuel Buhohela, amesema wao hawana taarifa rasmi kwamba Uingereza imepiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo na kueleza...
Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni.
Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga ameagiza kuwekwa ndani kwa masaa 17 mkandarasi na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa majengo matano mapya katika Chuo cha Ualimu...
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi milioni 660 kwa Chuo cha Ualimu Mpwapwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Maktaba na Maabara za masomo ya Kemia na...
Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga...
Mkuu wa wilaya Shinyanga, Jasinta Mboneko, ameuagiza uongozi wa kampuni ya ulinzi ya Suma JKT, kuwachukulia hatua kali za nidhamu walinzi waliohusika kwenye tukio la kumpiga mwananchi Daudi Lefi...
Imekuwa ni kawaida sana katika mitaa mingi hapa Dar es Salaam kuanzisha Bar zinazopiga muziki kwa sauti ya juu. Mimi sio mtalaamu wa sauti lakini kitendo cha "mabaa" yaliyo karibu na makaazi ya...
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa wa Rukwa, baada ya kumkuta na hatia ya...
Mfano nchi ikitoka uchumi wa kati ikarudi nyuma inautwa nchi ya uchumi gani? Sifa au vigezo vinavyoweza kuishusha nchi kutoka uchumi wa kati vipi?
Siku nchi inaposhuka Nani anatangaza na...
Dar es Salaam, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akisumbuliwa na homa kali.
Akizungumza na...
Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki.
Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameagiza halmashauri zote nchini Tanzania, kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayekaa chini kwa kukosa...
Members,Baba yake Freeman Mbowe pamoja na Rupia hao ndio walikuwa matajiri wakubwa na wakutisha enzi za mkoloni
Mwalimu Nyerere na Chama cha TANU hawakuwa na pesa za kwenda ulaya Kushawishi nchi...
Kichwa cha habari kinahusika.
Tunaamini hawa ni viongozi wakuu katika viongozi. Hatuwaoni, hatuwasikii hata kuhimiza kuchukua tahadhari kwa wananchi. Sikusudii kutoa matamko ya kiserikali...
Lawama na malalamiko yameibuka nchini kufuatia kitendo cha Rais John Magufuli kuonekana ameenda likizo nyumbani kwake Chato mkoani Geita, katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na janga la...
Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar.
Akiwasilisha maoni ya...
Kaongezea kwamba kuna maswali inabidi waulizwe watu wa Tanganyika na Zanzibar;
1:je munahitaji muungano?
2:je muungano aina gani munao utaka?.
Kasema hiyo ndo itaiondoa ile zana ya kwamba huu...
Ni dhahiri sasa mambo hayatakuwa sawia huko mbeleni. Sera tulizo nazo hazioneshi dalili za matumaini ya uchumi wetu.
Kwa sasa Serikali imefikia kikomo cha makusanyo, na hali inavyoendelea...
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.
Lakini sasa hali imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.