Kichwa cha habari kinahusika.
Tunaamini hawa ni viongozi wakuu katika viongozi. Hatuwaoni, hatuwasikii hata kuhimiza kuchukua tahadhari kwa wananchi. Sikusudii kutoa matamko ya kiserikali nakuisudia kuhamasisha.
Ukimya umekuwa mwingi na hatuwasikii hata habari zao siku hizi . Wako wapi watu hawa?
Wajuzi twambieni. Tulitamani Walau Rais wa Zanzibar naye iwe anahamasisha watu wake kule Zanzibar juu ya kuchukuwa hadhari.
Kwa mfano pamoja na kuwa na Waziri wa afya wa Muungano lakini Tunamuona JPM akihamasisha , Zanzibar kuna waziri wake Bw. Hamad Rashid lakini Dr shein yuko kimya sana. Hivi kuna nini au ndio Protocali?
Ni hayo tu.
Kishada.