Baba yake Freeman Mbowe ndie aliempatia Mwalimu Nyerere Fedha katika siasa za uhuru

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Members,Baba yake Freeman Mbowe pamoja na Rupia hao ndio walikuwa matajiri wakubwa na wakutisha enzi za mkoloni

Mwalimu Nyerere na Chama cha TANU hawakuwa na pesa za kwenda ulaya Kushawishi nchi iwe uhuru,Baba yake Freeman Mbowe alimpatia Mwalimu Nyerere pesa ili aende umoja wa mataifa (UNO) kwenda kudai uhuru wa Tanganyika

Uhuru huu kuna watu walikubali kutoa pesa bila hofu ya mkoloni kufilisi biashara zao,Baba yake Freeman Mbowe alisimama imara kwa wakati wake

Huwezi ukatenganisha uhuru wa Tanzania na Tajiri aliyetoa pesa zake bila hofu yaani Baba ya Freeman Mbowe

Freeman Mbowe angeamua kuwa CCM au akiamua kurudi CCM atapokelewa kwa shangwe na vifijo vikubwa sana kwani Baba yake alimsaidia sana Mwalimu kwa fedha ili kutafuta uhuru wa Tanganyika.
 
Siyo kweli!
Kihistoria ndio ukweli wenyewe

Huyo Baba yake Mbowe na John Rupia hao walitoa fedha zao mfukoni kwani walikuwa matajiri wa kutupwa wenye kumiliki mpaka ndege za usafirishaji

Kuna baadhi matajiri wachache pia walijitolea lakini hao walitoa pesa nyingi sana

Ukisoma vitabu vya historia vingi vinaelezea hao watu John Rupia na Baba yake Freeman Mbowe kuwa walikuwa matajiri sana enzi za mkoloni
 
Ni kweli alimchangia hela
Hata kupewa jengo la mbowe nhc ilikuwa shkran
Rupia naye alimchangia hivi unajua rupia naye alipewa nhc jengo lile shule ya uhuru kko yote asante ile

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Rupia anajulikana tangu aingie Dar es salaam akitokea kanda ya ziwa na maghorofa yake Kariakoo yanajulikana hadi leo.

Wewe baba yake Freeman unamjua?

Au unaijua tu Mbowe Hotels ya akina saydou!!
 
Siyo kweli!

Akina mzee Mwamakula ndio waliochangishana senti senti hadi nauli ikapatikana kinara akiwa Rashid Mfaume Kawawa aliyetoa mchango mkubwa.

Baba yake Freeman kama kweli unamjua alikuwa nani pale TANU?
Asante kwa ufafanuzi, hawa vijana wa ufipa wanatafuta kick toka kwa wananchi. Kipigo cha mbwa mtu kwenye boksi la kura kimewafanya wachanganyikiwe.
 
Kihistoria ndio ukweli wenyewe

Huyo Baba yake Mbowe na John Rupia hao walitoa fedha zao mfukoni kwani walikuwa matajiri wa kutupwa wenye kumiliki mpaka ndege za usafirishaji

Kuna baadhi matajiri wachache pia walijitolea lakini hao walitoa pesa nyingi sana

Ukisoma vitabu vya historia vingi vinaelezea hao watu John Rupia na Baba yake Freeman Mbowe kuwa walikuwa matajiri sana enzi za mkoloni
Sasa mbona akina Rupia ni matajiri hadi kesho huyo Mbowe alifeli wapi?

Freeman ni kama le mutuz!
 
Kitabu gani cha historia? Uzuri vitabu vina majina na mchapaji wake vitaje? Baba yake Freeman ametajwa kwa jina gani hata tukisoma hivyo vitabu tuweze kumfahamu?
 
Rupia anajulikana tangu aingie Dar es salaam akitokea kanda ya ziwa na maghorofa yake Kariakoo yanajulikana hadi leo.

Wewe baba yake Freeman unamjua?

Au unaijua tu Mbowe Hotels ya akina saydou!!
Sykes ndy walimpokea j.k.n nakumuonesha mipango yote na aliwakuta watu wana exposure
Mzee mbowe naye alimchangia hao wazee wajanja kitambo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona akina Rupia ni matajiri hadi kesho huyo Mbowe alifeli wapi?

Freeman ni kama le mutuz!
Mkuu utajiri wa Tanzania umeshikwa na wahindi wao ndio kila kitu hapa Tanzania wanaleta bidhaa toka nje na kupeleka nje ya nchi ,Lakini hawataki kujenga nyumba Tanzania

Wao ndio walipa kodi wakuu na wameajiri watanzania kwenye viwanda vyao

Wanaishi flats za National housing upanga na Posta
Kipimo cha utajiri ni kazi ila ukiona maisha ya Mbowe na nyumba zake utajua tajiri

Mbowe haishi kwenye nyumba kama yako ya nyasi na mlango ulioliwa na mchwa

Utajiri wa Rupia kwa sasa sina uhakika

Utajiri wa Mbowe sina uhakika

Takwimu sasa zinafichwa sana,Hata matajiri wa kihindi sasa huwezi kuwajua wakati wao ndio wameshikilia uchumi wetu
 
Back
Top Bottom