Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau, Kuna majengo ya Kifahari yamejenga japo Msoga, Pia kuna barabara za lami zinaingia ndani ya Kijiji. Sijui nani kafanya yote haya? Je, ni JK? Na kama ni yeye, Kafanya kwa hela zipi? Na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati Marekani ikitangaza kuweka vikwazo kwa baadhi ya maofisa wa Serikali ya Tanzania kwa madai ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejibu madai hayo...
17 Reactions
198 Replies
20K Views
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kesho (Januari 25, 2021) Tanzania itampokea Mhe. Sahle-Work Zewde, Mwanadiplomasia nguli na Rais wa Ethiopia. Mama huyu alizaliwa Jijini Addis Ababa mnamo Februari 21, 1950 na kupata elimu ya...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Akizungumza Mkoani Kagera Rais John Magufuli amewataka Viongozi ndani ya Serikali katika maeneo mbalimbali kushughulikia mapungufu yaliyopo. Akizungumza Mkoani Kagera amesema "Kuna Shule moja ya...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari. Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Wakuu salaam kwenu, Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa > Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita > Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo -...
20 Reactions
193 Replies
33K Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba amefariki dunia leo. Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi...
13 Reactions
131 Replies
25K Views
Kuna taarifa naifanyia kazi sasa nahitaji baadhi ya information muhimu. Ningependa kujua, wakati wa kampeni kuna kituo cha television kilirusha matangazo ya BBC yaliyojumuisha taarifa fulani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa masikitiko makubwa, tunaomba kuwaarifu kuwa Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Amefariki muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu. Huyu ndugu aliwahi...
8 Reactions
188 Replies
38K Views
TANZIA: MWENYEKITI WA CHADEMA ILALA AFARIKI DUNIA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ilala, Dk Milton Makongoro Mahanga amefariki dunia wakati anapatiwa matibabu...
33 Reactions
161 Replies
26K Views
Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo...
7 Reactions
205 Replies
41K Views
Mwendazake Bi Egla Mamoto alikuwa Kiongozi wa CCM Jijini Dodoma. Taarifa hii ya kushtukiza na kusikitisha zimeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo Disemba 27, 2020. Tunatoa pole kwa familia...
7 Reactions
82 Replies
17K Views
Kabla ya mwaka 2015 Vijana wengi walipata kazi serikalini na waliridhika kabisa na mishahara yao. Nyuma ya pazia kulikuwa ni siri kubwa zilizojificha ambazo ziliwafanya waone mishahara inatosha na...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Jana nilipita sehemu inayoitwa Msoga kama kama kumi ukitokea Chalinze, kwenda Arusha. Kuna kitongoji kinaitwa vicoba hapa ndo nyumbani kwa Jakaya Kikwete.Kuna ujenzi wa majengo kama 14 yanajengwa...
5 Reactions
481 Replies
114K Views
Mambo yamebadilika. Miaka sita iliyopita watu walikuwa wanazikimbia shule za serikali wanagombania shule za private. Hali imekuwa kinyume miaka hii na hasa mwaka huu. Sasa shule za serikali...
6 Reactions
61 Replies
8K Views
WATU wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru. Ni baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya...
18 Reactions
159 Replies
19K Views
Salaam Wakuu, Serikali imetoa Mwongozo wa Upimaji wa Covid-19. Katika Barua iliyosainiwa na Waziri wa Afya Dokta Doroth Gwajima, Pamoja na Mambo mengine yote, imeeleza ukitaka kusafiri nje ya...
6 Reactions
122 Replies
15K Views
Picha na Pixabay. Uwanja mpya wa JKNIA ni kioo cha nchi yetu yaani ni kama uso au sebule au mapokezi ya wageni wanaotembelea nchi yetu. Uwanja wetu mpya wa JKNIA unasifiwa kuwa ni moja ya...
4 Reactions
136 Replies
54K Views
Back
Top Bottom