Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi kama mtanzania nisiemfuasi wa chama chochote sipendi ushabiki wa kishamba hasa juu ya suala ambalo linagusa maslahi ya kila mtanzania bila kubagua itikadi zake. Hapa nchini kwetu kumetokea...
6 Reactions
124 Replies
7K Views
Twende pamoja nami kwenye uzi huu. Kutoka katika Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa, Chama kinatenga siku maalum kila wiki ili kusikiliza...
2 Reactions
10 Replies
965 Views
Kila mtu anajua kuwa mishahara ya watumishi wa umma ni midogo sana na kiuhalisia haikizi mahitaji ya kila siku. Watanzania wengi wapo kwenye utumishi wa umma sababu tu ni ajira ya kudumu na ukiwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jf, Naungana na rais Wangu Dr. j.Magufuri kugomea chanjo, ikiwa tuna wataalum wakali kutoka NIMR wameonyesha uwezo Wa kukabili kirusi hiki hatari duniani. Yapo magonjwa Mengi ambayo...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe...
39 Reactions
247 Replies
16K Views
HOJA TATU CHANZO CHA KUKAMATWA/KUTEKWA BOLLEN NGETTI. Bollen Ngetti, Mwanaharakati na Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, aliyetekwa tarehe 23/12/2019 siku ya Jumatatu na watu wasiojulikana...
33 Reactions
120 Replies
17K Views
Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki...
173 Reactions
2K Replies
229K Views
TAIFA LINAVUJA DAMU! Na Bollen Ngetti NAWASALIMU marafiki zangu wote kwa matumaini kuwa hamjambo. Ukimya wangu unawaumiza wengi wenu na kuwafurahisha wachache wenu. Ninapitia kipindi...
27 Reactions
64 Replies
8K Views
Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar...
13 Reactions
31 Replies
5K Views
Waziri wa Tamisemi mh Selemani Jaffo amewasihi viongozi wenzake kuacha tabia ya kuinua mabega kujitutumua, jeuri na kiburi kwani kila nafsi itaonja umauti. Waziri Jaffo amesema hayo wakati wa...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Ni siasa za kishamba kudhania kuwa ili wapinzani wapate kick ni lazima wadandie matukio fulani ili wapate kick. Kwa mazingira ya kutegemea matukio yawanyanyue kisiasa basi ilipaswa kuangalia na...
0 Reactions
9 Replies
997 Views
Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo. Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
The Nordic Way - BBC Reel Wananchi wenzetu huko Sweden wamefanikiwa kujenga a Welfare State. Nchi ambako Shule ni bure hadi Chuo Kikuu, Matibabu ni bure, Usafiri na nyumba ni sawa na bure...
9 Reactions
85 Replies
7K Views
Wazazi wamekuwa na wajibu mkubwa sana kwetu kuanzia mimba mpaka tunasoma elimu ya juu kwa kujitolea karibu kila kitu walicho nacho. Hufanya hivyo kwa moyo sana lakini mara nyingine kwa taabu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Pale mjengoni "kundi la bundi" linaweza kutendea kazi hoja za NGAMIA na KESI ambazo zilitolewa na kwa nyakati tofauti. Hoja ya pili ya KESI inaonekana kama ilipendeza mfugaji wa Kibaigwa...
8 Reactions
47 Replies
6K Views
ANASHANGAA MHESHIMIWA LISSU KUSHAURIWA NA ASKOFU KWA KUWA HAMJUI ASKOFU ANAYEMSHAURI RAIS MAGUFULI! Ukiongea na Askofu Mwamakula uwe makini sana kwa sababu anatunza kumbukumbu vizuri. Hebu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna madai kuwa chanjo ya corona si salama na maneno mengine mengi tu kuhusu dawa hiyo. Hata hivyo, ukiwaambia wahusika watoe uthibitisho juu ya madai hayo, kamwe hawawezi kufanya hivyo. Swali...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Prof Kitila Mkumbo amekagua mradi wa maji uliokamilika huko wilayani Chato, mkoani Geita. Mradi huo umegharimu kiasi cha Bilioni 8 ambao utaviwezesha vijiji vitatu...
5 Reactions
101 Replies
10K Views
Hivi ni kweli kwamba wazungu wametaka kutuua na kutufanya tusizaane kwa kupitia chanjo ya Korona? Sidhani. Watoto wetu nasi toka tunakuwa tumepata chanjo za tetenasi, pepopunda, sulua/surua n.k...
28 Reactions
43 Replies
6K Views
Back
Top Bottom