johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,875
Leo Rais Magufuli amesimama katika mji wa Puge na kumtaka mbunge wa Nzega vijijini kuelezea matatizo ya jimbo hilo.
Ndipo alisimama mh Kigwangalla na kusema wao walipeleka ombi la kujengewa scheme ya umwagiliaji kwa naibu waziri wa kilimo mh Bashe lakini kwa kuwa Rais Magufuli yupo jimboni hapo basi anamuomba alitolee kauli.
Rais Magufuli akaomba majibu kutoka kwa naibu waziri ndipo mheshimiwa Bashe akaanza kutiririka kwa data namna alivyoshughulikia mradi huo na kwamba hadi sasa wataalamu wako site wanachapa kazi.
Wananchi wote walimshangilia naibu waziri kwa vifijo na vigeregere.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!