Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa...
Rais wa Tanzania anasema Mungu ameondoa COVID-19 katika nchi yake. Sasa kanisa analosali mwenyewe laonyesha kutofautiana naye. Mamlaka ya Kanisa Katoliki wiki hii imetoa onyo juu ya wimbi jipya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewaasa Viongozi wa Mkoa wa Tabora kuacha majungu kutokana na eneo hilo kutawaliwa na majungu baina ya viongozi na viongozi pamoja na...
Wadau wa Jf mnakumbuka wakati wa kampeni Lissu alipinga suala la wamachinga kupewa vitambulisho ambavyo havina picha wala majina. Sasa baada ya kuumbuka kwa kutoa vitambulisho ambavyo havina picha...
Rais wa Tanzania Magufuli:
aamuru Waz. ya Afya kuwa tahadhari juu ya chanjo mpya,
aamuru kampuni za madini kuunda ushirikiano na kampuni za Tanzania,
kazuia uingizaji wa bidhaa fulani kulinda soko...
Watu wanafika hospitali, wanapiga picha wapendwa wao na watu wengine wanowazunguka bila ridhaa ya wale waliopigwa picha, hii si sawa.
Madaktari wapo kazini, baadhi ya wahudumu wa afya wasio na...
Moshi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu kuwaamuru wananchi waliokuwa katika...
Tanzania president raises doubts over COVID vaccines
President John Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are ‘dangerous’.
---
Tanzanian President John Magufuli has...
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea...
Kama kuna mawaziri wadogo ambao kila mbongo anawakubali kwa kuchapa kazi basi ni Godwin Mollel.
Ama kwa uhakika huyu jamaa ni mchapa kazi kwelikweli na anapofanya ziara huwa anaibua madudu na...
Kuna kasumba mbaya sana imejengeka ndani ya wafuasi na Wanachama wa Vyama vya Upinzani kuwa na akili mbovu ya kuwa wanalitakia mabaya taifa letu, kisa tu wao wamepoteza mvuto wa kisiasa hapa...
Hivyo ndivyo ninavyoweza kuhusu Banana Republic ya Bongo, ambayo imejaa baadhi ya watu wabinafsi na wenye kujipendekeza mpaka wanatia kinyaa na kuwa tayari kutetea kila jambo linalofanywa na huyo...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma, William Kusila amesema kuwa Tanzania inaelekea kuzimu na kwamba hakuna namna tena ya kukifanya chama hicho kikawa na heshima...
Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika...
Wapo watu wamejitwalia mamlaka za kuwafanya walio chini yao kama wanyama. Mtu anapigwa na dola Hadharani then dola inasema alikua mgonjwa na anayetamka hayo yupo mbele ya TV na hakuna anakemea...
Mzazi mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga, kata ya Mlale, iliyopo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe, amegoma kumpeleka mwanaye kujiunga na kidato cha kwanza akidai kuwa mwanaye hana akili na kwamba...
RAIS Dk. John Magufuli amewatolea uvivu wananchi wanaotembea na mabango yakielezea mishahara midogo wanayolipwa katika maeneo yao ya kazi, kwa kuwataka waache kazi, waende kulima kama wanaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.