Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani...
11 Reactions
78 Replies
7K Views
Wananchi wa Rorya tunamshangaa sana mbunge wetu kwa kutudanganya na kutubagua. Ametuletea gari lake aina ya Noah alilokuwa anatumia ,alichofanya fanya ni kulipaka rangi ya ccm na kuandika neno...
15 Reactions
78 Replies
10K Views
Serikali imeendelea kusisitiza kuwa haitawafungia Watanzania na badala yake imewataka kuchukua tahadhari ya kujikinga bila ya kutishwa au kuchomekewa mawazo na mikakati na watu wengine katika...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Spika Job Ndugai amesema Bunge la Tanzania linaahidi kutoa ushirikiano pale wanapohitajika akiongeza, watajitahidi kuhakikisha muhimili wa Mahakama unaheshimiwa ndani ya nje ya Bunge. Ameeleza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni miaka isiyopungua tisa sasa toka sakata la uchimbaji wa gesi ya Mtwara lilipoibuka hapa Tanzania. Matumaini yalikuwa makubwa, mbwembwe kibao, nguvu ikatumika na watu kupoteza maisha ili gesi...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
Mh Rais wangu samahani naomba kujuwa mikopo wa nayo pewa madaktari hawalipi? Maana naona kama unalirudisha hili taifa zama ambazo zimeumiza watu wengi mpaka wengine wakakimbia nchi. Waache...
18 Reactions
61 Replies
7K Views
Kwa mfano: Je, Rais anaweza kuhama chama alichokuwepo na kuhamia chama kingine? Mfano Mheshimiwa Magufuli atangaze rasmi anajiunga na CHADEMA na kule Zanzibar Hussen Mwinyi anajiunga na ACT...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
President Magufuli is vigorously fighting for Tanzanians and Africans at Large, His PhD is exactly at proper battle field, it is a Chemistry PhD of thinking and reasoning,if there is any doubt I...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Waziri Mkuu alisema jana serikali ipo karibu kuanza kutoa ajira na kulipa malimbikizo ya watumishi wa umma baada ya uhakiki kukamilika. Amesema serikali ipo hatua za mwisho kukamilisha zoezi hili .
4 Reactions
73 Replies
17K Views
Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya...
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ujenzi wa madarasa matatu shule ya msingi Majengo kata ya Kahe Mashariki unaendelea vizuri ambapo kwa sasa yamefikia hatua ya rangi. Shule hii ilikuwa ina upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu wanazaliana hovyo na ndiyo maana kuna shida ya kila kitu, sasa ona hata mnahangaika kupiga marufuku watu wasisafiri wakati hapa nyumbani hakuna kitu cha kuwaweka, hivyo ili kuokoa haya...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Nichukue fursa hii kuwaomba tena sana wanasiasa nguli, wabobezi na maarufu sana hapo Tabora muiponye CCM. Niwataje kwa uchache Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Aden Rage, Athuman Mfutakamba...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Hizi sijui Chanjo hazifai ni mbembwe tu, tutachanja sana na Serikalinini huko ndo watapigana vikumbo wa kwanza kuchanjwa ili chanjo isije isha hawajachanjwa. Nchi inayo Import toothipick...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
VITA YA KAGERA Vs CORONA Wakati wa vita ya Kagera, Baba wa Taifa akiwa Rais wa Tanzania, alilazimika kufanya mabadiliko ya uongozi wa Mkoa wa Ziwa Magharibi. Mkoa huu ulikuwa katika eneo la...
18 Reactions
47 Replies
7K Views
Pongezi kubwa kwa mhe Rais wetu kujenga kilometa nyingi bila kufanya maonyesho ya bila mimi msingepata barabara. pia pongezi nyingi kwa Raisi aliyepo kwa kundelea kuchapa kazi ambayo matunda yake...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Niliwahi ongea na baadhi ya wazee waliosoma zamani wakaniambia zamani walisoma shule za msingi zilizokuwa na masomo ya Ufundi zote(TRADE SCHOOLS).Wakitoka walikuwa wanaweza kujitegemea kwani...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom