Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Nchi sasa hivi inajiendesha Kama haina Rais. Wafanyakazi sekta zote wengine wanastaafu na wengine wanakufa kila siku lakini jamaa hataki kabisa Wala kusikia kuhusu ajira. Yuko radhi wote mfe ilimradi barabara zijengwe.
Elimu sasa hivi haina value tena Kama kipindi cha JK ambapo kuna vipaumbele vya ajira mpaka wazazi walikuwa wanajivunia kuwasomesha watoto maana ukimaliza tu ajira ipo mkono lakini sasa hivi ukimaliza msisitizo unaotolewa na JPM na viongozi wengine ni kujiajiri hawatwambii kama nchi imeahafilisika haiwezi kuajiri tena.
Kila kitu kimekuwa kugumu hata ukijaribu kuanza kufungua genge TRA wanamwagika unafirisiwa within no time. Uliamua kwenda kulima mazo ya biashara hakuna soko yote serikali imeyavuruga kwa uongozi huuvmbovu kuwahi kutokea.
Vijana salini Sana ndo kilichobakia ili mungu ampende zaidi.