Udhaifu wa kudandia matukio ili kupata kick za kisiasa unawasababisha wapinzani kudharaulika

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ni siasa za kishamba kudhania kuwa ili wapinzani wapate kick ni lazima wadandie matukio fulani ili wapate kick.

Kwa mazingira ya kutegemea matukio yawanyanyue kisiasa basi ilipaswa kuangalia na matukio ya kudandia maana sio kila tukio linaweza kuwanyanyua kisiasa.

Haina ubishi kuwa kuna wimbi la watu kufariki hasa kutokana na matatizo ya kupumua ndio maana tunaambia ni nimonia. Lakini hii sio sababu ya kutaka kutumia huu mwanya kupata kick za kisiasa.

Kama vyama vya upinzani makini mlipaswa kutoa ushauri mzuri ili hatua stahiki zichukuliwe,lakini sio kutoa kauli za ajabu huku mkiwatisha wananchi kana kwamba huu ugonjwa ukienea hauwahusu nyie.

Hivyo huu ni wakati wa kuachana na siasa za kizamani za kudandia matukio ili kupata kick,mue na kasumba ya kujenga umoja,japokuwa najua bado kuna makovu mioni mwenu.
 
Acheni kuhamisha magoli! Mruhusu chanjo ya Corona enyi Maccm! Mtaendelea kuleta utani mpaka lini dhidi ya maisha ya watu? Corona bado ipo ipo sana.
 
Acheni kuhamisha magoli! Mruhusu chanjo ya Corona enyi Maccm! Mtaendelea kuleta utani mpaka lini dhidi ya maisha ya watu? Corona bado ipo ipo sana.
Hapo ulipo una chanjo ya covid 19? Mbona bado unadunda? Habari za CCM zinatoka wapi?
 
Back
Top Bottom