mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana jf,
Naungana na rais Wangu Dr. j.Magufuri kugomea chanjo, ikiwa tuna wataalum wakali kutoka NIMR wameonyesha uwezo Wa kukabili kirusi hiki hatari duniani. Yapo magonjwa Mengi ambayo tunaishi nayo na hatujawahi kupewa chanjo kwa Kuwa wenzetu washatokomeza labda kwa madawa yao. Sisi kwa kutoa tibalishe Nimrcaf itoshe to kusema hata kirusi kijibadiri vipi tiba lishe ile ile itakingoa mwilini.
Hata hivyo baada ya kupitia hotuba ya juzi na kuona Rais anavyopambana tusiuliwe na njaa badala ya corona kwa kutufungia huku hana uwezo Wa kutulisha tz mil 58 naona ameshiriki kututia moto na nguvu tusitishwetishwe na wazungu. Pia mpaka sasa hakuna mfanya mazoezi au mwanamichezo amefariki kwa corona hiyo kumbe kinga ni kufanya mazoezi na kula vyakuka vilivyoainishwa, inatosha kufukuza ndudu bila chanjo. Si kila kinachoua wazungu sie tukitilie maanani na kukiogopa sana bali tukifanyie kazi tukitokomeze.
Asante rais wangu kwa kututia moyo kuwa tusitishike ila tuchukue tahadhali kutokana maelekezo ya idara ya Afya.
Leo nilikuwa kwenye msiba bunju ambao mtu mmoja aliyefariki inasemekana alikuwa nayo lakini ameuhudumiwa na watu wa kila aina bila kutambua kuwa ni ugonjwa gani, walionhudumia hawajapigwa karanteen kuanzia mtoto wake dreva na mke wake bado wako vizuri, ikiwa wao wana afya mzuri na wanafuata masharti ya tibalishe ugonjwa huu utapita tu.
Nashauri wale vibonge, wazee, wenye vifua vikuu, ukimwi kila wiki wanywe nimricaf waongeze kinga ugonjwa utapotea