Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali. Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha...
7 Reactions
62 Replies
5K Views
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya...
5 Reactions
112 Replies
8K Views
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi. Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA. Lakini, ukichunguza kwa umakini...
33 Reactions
98 Replies
9K Views
Jana Februari 05, 2021 Mbunge wa Jimbo la Chonga-Pemba kupitia tiketi ya chama cha ACT–Wazalendo ndugu, Salum Mohammed Shafi aliibua hoja Bungeni ya kudai haki ya Masheikh wa Uamsho iweze...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote, lakini kodi nyingi zisizolipika ni chanzo cha kuanguka dola lolote duniani. Ukisoma historia madola mengi yalianguka baada ya watawala kuwatoza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa...
5 Reactions
114 Replies
11K Views
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema nguvu inayotumika kupambana na wabadhirifu wa mali za umma visiwani humo si nguvu ya soda na mapambano hayo ndio kwanza yameanza. Kadhalika, amesema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa jinsi Rais Magufuli anavyokwenda ,na kwa kuzingatia anavyoichekecha nchi kila kona ,mwaka 2025 natarajia kuona maandamano makubwa kutoka kwa watu hawa 1.Wamachinga, mama ntilie na boda boda...
5 Reactions
95 Replies
8K Views
Tarehe 7 Disemba 2020 Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi alimwapisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na hivyo Kutekeleza Katiba ya...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)...
5 Reactions
69 Replies
11K Views
Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda. Ila hali yetu wananchi ni mbaya sana...
10 Reactions
64 Replies
8K Views
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa. Hata hivyo mchungaji Matsai...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke. Gondwe amempa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa siku za hivi karibuni mara baada ya kuanza bunge kumezuka mambo ambayo kwakweli sisi kama Wananchi na Watanzania hatukuzoea kabisa tangu tupate uhuru wetu 1961. Kuna mambo yanaendelea Bungeni...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Na wanaweza kufanya vizuri bungeni na watanzania wengi wakashangaa kwa sababu watakuwa wanatenda kwa kumaanisha na siyo kutafuta kiki. Mama Makinda amesema wao waliunda self made opposition...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana. Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu...
6 Reactions
128 Replies
18K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Makala hii ilitoka katika gazeti la Majira, mwanzoni mwa mwaka huu. Niliandika maoni yangu pia muda huo huo, ingawa nimechelewa kuweka hapa. Sina uhakika kama mada hii ilishajadiliwa huko nyuma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nami natia neno kwenye kauli ya spika Ndugai. Kama mwalimu mmoja anaweza kufundisha masomo matano basi mbunge mmoja pia anatosha kuwakilisha mkoa mzima. Hakuna haja ya kuwa na wabunge 400...
27 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom