Februari 16: Tarehe isiyosahaulika katika siasa za Tanzania

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14. Jumamosi ijayo.

Hata hivyo kwa namna ya pekee, mwezi huu hauwezi kuwa na utukufu kwa Watanzania hasa wapenda demokrasia.

Tarehe 16/2/2017 ilikuwa ni siku ya kiza kinene. Nchi ilizizima baada ya Askari Polisi kumuua kwa risasi binti mrembo, mpole, mwenye akili ya ziada, mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji, Akweline Akwalini akienda zake Bagamoyo kwa usafiri wa umma (daladala).

Binti huyu alidhulumiwa roho yake na Askari waliokuwa wakitawanya waandamanaji wa Chadema waliokwenda kudai haki yao ya fomu ya kiapo katika Ofisi ya Mkurugenzi huko Kinondoni.

Habari hii ilirindima mwezi mzima wa Februari miaka minne iliyopita. Rais Magufuli aliagiza uchunguzi ufanyike. Sijui kama ulifanyika.

Kila mtu alisema rwake kwenye Jeshi letu huku hakuna hata mmoja aliyeona haja ya kujiuzulu kuonesha kuwajibika kwa tukio like la aibu. Si Waziri, IGP wala RPC. Wote wakapiga kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.

Kamanda mmoja akadai risasi ilipigwa juu angani jambo lililowashangaza wanafizikia ni risasi ya aina gani inayopigwa juu kisha kurudi ardhini ikiwa na mwendo ule ule wa kudhuru? Basi alimradi ujinga usio na kikomo.

Jumatatu ijayo 16/2/2021 familia, ndugu, jamaa na marafiki watajumuika huku Marangu kumuombea Akwiline misa fupi na kisha kuzuru kaburi lake. Waliojirani mjumuike kuifariji familia hii.

Lakini pia Jeshi letu litumie siku hii kutafakari utendaji wao wa kazi hasa kwa baadhi yao wasio na weledi. Matukio kama haya yasijirudie asilani.

Binti Akwiline, pumzika kwa amani. Wenzio mliokuwa wote darasani sasa wako ajirani. Poleni wazazi wa Akwiline. Kupitia kifo chake tumejifunza mengi.

Bwana alitoa.
 
14/02 ni jumapili we wasema itakuwa jumamosi sijui unaangalia kalenda ya mexco?

Na 16/02 ni jumanne we wasema jumatatu.
 
Inasikitisha Sana!!
 
Upuuzi mtupu
Bila shaka wewe ni satan sio binadamu,mada inaongelea maisha yaliyokatishwa na familia yake imempoteza mpendwa wake halafu wewe unaandika upuuzi,mshenzi sana wewe na huna utu na bila shaka unatoka kwenye familia iliyojaa ukatili na hakuna hata chembe ya upendo,ninaogopa familia yako.
 
Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14. Jumamosi ijayo.

Hata hivyo kwa namna ya pekee, mwezi huu hauwezi kuwa na utukufu kwa Watanzania hasa wapenda demokrasia.

Tarehe 16/2/2017 ilikuwa ni siku ya kiza kinene. Nchi ilizizima baada ya Askari Polisi kumuua kwa risasi binti mrembo, mpole, mwenye akili ya ziada, mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji, Akweline Akwalini akienda zake Bagamoyo kwa usafiri wa umma (daladala).

Binti huyu alidhulumiwa roho yake na Askari waliokuwa wakitawanya waandamanaji wa Chadema waliokwenda kudai haki yao ya fomu ya kiapo katika Ofisi ya Mkurugenzi huko Kinondoni.

Habari hii ilirindima mwezi mzima wa Februari miaka minne iliyopita. Rais Magufuli aliagiza uchunguzi ufanyike. Sijui kama ulifanyika.

Kila mtu alisema rwake kwenye Jeshi letu huku hakuna hata mmoja aliyeona haja ya kujiuzulu kuonesha kuwajibika kwa tukio like la aibu. Si Waziri, IGP wala RPC. Wote wakapiga kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.

Kamanda mmoja akadai risasi ilipigwa juu angani jambo lililowashangaza wanafizikia ni risasi ya aina gani inayopigwa juu kisha kurudi ardhini ikiwa na mwendo ule ule wa kudhuru? Basi alimradi ujinga usio na kikomo.

Jumatatu ijayo 16/2/2021 familia, ndugu, jamaa na marafiki watajumuika huku Marangu kumuombea Akwiline misa fupi na kisha kuzuru kaburi lake. Waliojirani mjumuike kuifariji familia hii.

Lakini pia Jeshi letu litumie siku hii kutafakari utendaji wao wa kazi hasa kwa baadhi yao wasio na weledi. Matukio kama haya yasijirudie asilani.

Binti Akwiline, pumzika kwa amani. Wenzio mliokuwa wote darasani sasa wako ajirani. Poleni wazazi wa Akwiline. Kupitia kifo chake tumejifunza mengi.

Bwana alitoa.
Mbwembwe za nini kwenye uzi wa huzini?

Akili za siasa zinakaaga sehemu gani?
 
Back
Top Bottom