Hilo nililolisema naamini kila mmoja wetu humu kama ni mfuatiliaji wa Bunge atakuwa ameliona
1. Hoja za wabunge juu ya kumuongezea rais muda wa uongozi.
Swali fikirishi hapa ni ‘Je, ni kweli...
Sikilizeni mchango wa Dr.Kimei bungeni.
Kuna mambo hayako sawa katika mikakati yetu ya uchumi.
===
Tunapoangalia mipango hii mara nyingi huwa tunatumia cash budget sasa tukianza kuzungumza...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Kipanga Juma Omary amesema serikali iliazimia kutoa Elimu bila malipo ambayo ni elimu bure kwa elimu msingi, darasa la kwanza hadi kidato cha nne...
Ametoa kauli hiyo leo akiwa bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Maji. Amesema yeye akiwa kama ndie mbunge "senior" na anayekubalika zaidi na wana Bunda anataka kujua ni...
Paranoia ni nini? Angalia jinsi dictionary moja ilivyoeleza maana yake;
Paranoia: hali/ugonjwa wa akili unaomfanya mtu awe na hofu isiyo ya kweli ya kusulubiwa na watu wengine. Humfanya mtu awe...
Aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mafia kati ya mwaka 2005 hadi 2010 na amefariki dunia jioni ya leo Aprili 25, 2020 katika Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar.
Akiwa mbunge, Shah alipata kuwa...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema wabunge vijana wanashindwa kulisaidia Taifa kwa kuwa michango yao bungeni haina tija na haiwezi kuwapeleka mbele Watanzania.
Ameeleza hayo...
Salaam Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imekana waraka uliotolewa na Prof. Bisanda. Yawataka wanafunzi waendelee kwenda shule.
Prof. Bisanda aliwata wanafunzi wanaoingia chuoni...
Wasomi wetu watia aibu sana. Prof. Bisanda, Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT) anahojiwa na BBC ni kwa nini ameamua kuwataka wanafunzi wake wabakie nyumbani kusoma kwa mtandao?
"Hilo haliwahusu...
WALIOKUWA watumishi wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) na wenzao watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka sita likuwemo kuharibu noti 460,000 za 10...
Amepoteza uhai akipata matibabu Jijini Dodoma alfajiri ya leo.
Akifundisha Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa miaka mingi kabla ya kuhamia Iringa kwenye Chuo Kikuu cha Ruaha
Profesa wa Chuo...
Vyombo mbali mbali vya habari vya ndani na nje ya nchi vimekuwa vikifuatilia kwa ukaribu michangi ya baadhi ya wabunge wa CCM wale wenye mtazamo angalau wenye utu na huruma.
Kuhusu namna TRA...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga ameomba Serikali kuangalia upya suala la kampuni za simu kupandisha vifurushi vya intaneti bila taarifa
Amefafanua kuwa, "Natambua Tafiti zinaonesha Tanzania...
Huwezi kuwa Rais wa nchi kupitia chama cha siasa halafu ukawaahidi wananchi (wote) kupumzika endapo tu watajiunga na chama chako. Sio tu ni dharau kubwa kwa wananchi bali pia ni ishara ya...
Mabeberu wana mbinu nyingi. Mbinu mojawapo ni kushawishi nchi zinazojitokeza kujikita katika miradi ya gharama sana. Soma Confessions of an Economic Hitman.
Ni muhimu sana watu wakisome ...
BBC wamekua wepesi sana kurusha matamko dhidi ya Tanzania yatolewayo na shirika la afya duniani kupitia wakurugenzi wake kuhusiana na ugonjwa wa covid 19 hasa yale yenye kuonyesha mbinyo kwa nchi...
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps...
Unaweza kujiuliza wabunge zaidi ya 390 wana kazi gani ya maana ukilinganisha na maslahi makubwa wanayolipwa?
Tume ya Katiba Mpya iliyoongozwa na mzee Warioba ililiona hili na kupendekeza idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.