Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba...
Kwa jinsi nimechukia sina haja ya kutoa salamu, moja kwa moja katika mada.
Ni kuhusu mkutano wa leo mjini Dodoma kati ya wana CCM wakongwe wakijaribu kutuvisha vijana koti la ujamaa kwa nguvu. Ni...
Tuacheni na tabia ya kuangushana na kupondana. Kiukweli Serikali ya Mheshimiwa Magufuli imewaamsha Watanzania na tumeona japo kwa miaka michache hii aliyokuwepo madarakani, bila ya kumeng'enya...
Nimekuwa nikifuwatilia kwa ukaribu sana matamko ya Marais na ufuwatiliaji wa mambo nakuja na hii mada kuuliza kama taifa kwanini isitungwe sheria itakayo mlazim Rais akiteuliwa lazima apate ilimu...
Mh. Speaker, ningependa kufikisha ujumbe huu kwa ufupi sana. Nimeamua kuandika baada ya kukusikia kwa mara ya pili ukiongelea ugumu wa ajira kwa vijana.
Sitaki kujikita sana kwa wajibu wa...
Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa...
Waandishi hebu kuweni Makini basi katika uandishi wenu.
[emoji117]Je, Bunge lina Aina ngapi za Wabunge?
[emoji117]Je, ktk Aina ya Wabunge Je Mbunge wa Viti Maalum Aliyefukuzwa Anapatikanaje...
Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku
Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally...
Uhusiano na Nchi ya Rwanda
Ndugu wananchi;
Katika kipindi cha miezi miwili sasa hususan tangu mwishoni mwa mwezi Mei, 2013, uhusiano baina ya nchi yetu na Rwanda unapitia katika wakati mgumu...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba aliyefukuzwa Chadema amesema itachukua zaidi ya miaka 60 ili kufikia pato la dola 1,500 kwa mtu mmoja kwa mwaka.
Makamba alisema tatizo hilo...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa kwa sasa wanaompango wa kudhibiti watumishi wa sekta ya afya walioajiriwa na serikali lakini wanafanya kazi kwenye sekta binafsi ili...
Salaam wadau wa jf
Nimekuwa nikifuatilia mambo yote niliyojaliwa kuyasikia ya amri na maelekezo ya JK lakini nimejikuta nashangaa mbona hayatoboi mpaka mwisho! Kunani hapa? Kwa uchache:-
1. Ana...
Inaumiza sana kwa hizi hujuma za wazwaz kabisa ambazo TRA inafanya. Kuwachonganisha wafanyabiashara na Mh Rais. Ionekane serikali yake inaonea na kunyanyasa wafanya biashara. Ionekane haiwajali...
Heshima wanajamvi,
Mheshimiwa Rais Dr Prof Kikwete anamaliza muda wa kuongoza taifa mwezi October 2015. Kama ilivyo desturi ya viongozi wengi Afrika ya kupenda kutawala milele au hadi mwisho wa...
Ni miaka 44 ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania.
Hongereni kwa uvumilivu wa kuruhusu uwepo wa vyama vya upinzani japokuwa ni 20% tu ya wananchi ndio walivihitaji.
Hongereni kwa kutuletea...
MFANYABIASHARA, James Rugemalira ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameandika barua kwenda kwa Kamishna Generali wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akielezea ni jinsi gani benki ya...
Mkuu wa wilaya ya Hai,Mkoani Kilimanjaro,Lengai Ole Sabaya amewatoa hofu wananchi wa wilaya hiyo kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuwataka wasiogope kusalimiana kwa mikono kama ilivyo...
Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu.
Akizungumza leo Jumatano Februari 10...
Mazungumzo hayo muhimu yamefanyika leo Februari 10,2021 Bungeni Jijini Dodoma.
Mhesh Esther Matiko ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chadema na kabla ya hapo alikuwa Mbunge wa Jimbo la Tarime...
Napenda wakuu wote wa mikoa 25 waige mfano wa wakuu wa mkoa Abdallah Kunenge na Anna Mghwira, hakika wakuu hawa wa mkoa wameonyesha jinsi mtu ambae ameelimika anavyotakiwa awe. Abdallah Kunenge ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.