Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,302
- 24,142
Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali.
Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha.
Serikali siyo kwamba hawajui kinachofanyika huko mitaani, ila wanafumba macho ili wawakamue na kuwafilisi wafanya biashara kwa malengo ya kodi zisizoendelevu.
Kodi ni taaluma na sio maguvu.
Task forces zinaingia ofisini kwa mfanya biashra , humo kuna afisa Usalama wa tAifa, polisi , na mtu wa TRA.
Kazi yao ni moja tu -kumfilisi mfayabiashara.
Hilo liko wazi na sasa limeenda mbali zaidi, mfanya biashara kutishiwa UHUJUMU UCHUMI asipotoa pesa kwa serikali!
WHATS THIS?
Serikali ina condone state robbery?
Nawashukuru wabunge wetuwa CCM kwa ujasiri wa kuyasema hadharni, maana serikai haiwezi kukana kuna kuyajua yanayotendeka.
Nilitoa tahadhari mapema.

TRA wanavyofunga biashara za wazalendo
Tunalazimika kueleza jinsi TRA wanavyofunga biashara za wafanyabiashara. TRA wamepangiwa malengo ya ukusanyaji fedha, kinyume cha hivyo mtu anafukuzwa kazi na ajira inakoma. TRA kama ilivyo ada kwao, hawafuati weledi wa kibiashara au kuona jinsi ya kupata mapato endelevu, wao ni kutimiza amri...
www.jamiiforums.com