Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wana jukwaa. Kama kungekuwa na mashindano ya kushindanisha marais na kutafuta rais wa dunia kama tunavyofanya kwenye vilabu vya mpira wa miguu basi Magufuli wa Tanzania angeshinda asubuhi...
30 Reactions
155 Replies
13K Views
Mbunge wa Konde amesema uamuzi wa Rais John Magufuli kumtuma Humphrey Polepole awaaambie wana-CCM kwamba hataongeza kipindi cha Utawala ni ishara ya kuilinda na kuienzi Katiba. Amesema, "Polepole...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Tulipoanza awamu ya tano nakukusanya wasomi wote mashauri nakuwaingiza wizarani na mashirika ya umma niliamini taasisi wanazoongoza zinakwenda kupiga hatua hasa yakimkakati endapo tu wasomi hao...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni muda sasa unaendelea kupita tangu baadhi ya watu wakiwemo viongozi hasa wabunge wakijitokeza hadharani na kutoa kauli za kuvunja katiba bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria. Wabunge wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Msikilize hapa Humphrey Polepole akizungumza bungeni, kiukweli hiki chama sasa kinaenda kama gari lililokatika senta bolti.
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Nimewasikia wabunge wakiionya Serikali ya Magufuli kuacha kukusanya kodi kwa "task force" yani Polisi, TRA na Afisa wa Usalama Taifa. Matokeo yake pesa zao zinaporwa, wanafunga biashara...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna clip ya Mh Musukuma nimeiona akitaka wahusika ie Waziri wa Fedha na Waziri wa Viwanda na biashara wamfikishie ujumbe mh Rais kwamba hali ya biashara ni mbaya kwani wafanyabiashara wengi...
15 Reactions
29 Replies
3K Views
Mbunge wa Geita kupitia CCM, Joseph Kasheku ameshauri mabilioni yanayowekezwa na Serikali kwenye miradi ambayo haizalishi kuwekezwa kwa watu wa hali ya chini. Amesema, "Tumeona Serikali kipindi...
16 Reactions
107 Replies
10K Views
Msikilize muheshimiwa kaona bungeni kutamu sana...hapo kumtoa anaweza kutoa roho ya mtu kweli jamani.
3 Reactions
70 Replies
8K Views
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa...
2 Reactions
159 Replies
18K Views
Ajali za barabarani nchini Tanzania hasa kwa madereva wa pikipiki (bodaboda), zinasababishwa na adhabu kutoka kwa askari wa usalama barabarani (Trafiki). Kauli hiyo imetolewa na Salome Makamba...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Dunia ikiwa inatumia mabunge yake kufikiri na kujadili janga hili la gonjwa la Corona, athari zake kiuchumi na tafiti za matibabu yake, hapa kwetu Bunge hili la kuchonga kama kinyago limejikita...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.
13 Reactions
373 Replies
38K Views
Kuna mtu aliwahi kusema humu Jamiiforums kwamba in politics everything happens for a reason. Akimaanisha kwamba lolote ulionalo kwenye siasa halitokei kwa ajali liko well calculated na linafanywa...
18 Reactions
53 Replies
4K Views
The country that rejected coronavirus vaccines Dave Lawler Tue, February 9, 2021, 3:03 AM A number of countries around the world have fudged official coronavirus statistics, shared...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni ===== Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria. Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya...
6 Reactions
42 Replies
7K Views
Katika Bunge la 12 Wabunge badala ya hukuchangia yaliyomo kwenye Hotuba ya Rais wamejikita kwenye Hoja ya Kuongeza Ukomo wa Rais Hayati Baba wa Taifa ktk Utawala wake alipendekeza Uongozi wa RAIS...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Na Emmanuel J. Shilatu Wakati mgumu wa janga la ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na virusi vya Corona vimetuonyesha aina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tuliyenae Watanzania aitwaye...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Raha ya ushindi ni kunoga kwake. Raha ya uchaguzi ni kushinda halafu kutamba kama mwenye magamba membamba. Kunyakua kiti cha Urais; viti vya Ubunge na Udiwani kufuatiwe na 'utamu' wa kidemokrasia...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom