DC Gondwe: Serikali hairidhishwi na kasi ya Ujenzi wa mradi wa Mwendo kasi (BRT)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,842
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke.

Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Chadema waliharibu sana temeke ni muda wa kuijenga
Kwasababu ya chadema ndo mana watoto wanakaa chini shuleni? Au naongea uongo ndugu zangu?
Sijauza nyumba za umma kwa hawala yangu kabula?
Sijapora KOROSHO zenu?
Sijajimilikisha maghorofa ya NIC huko dodoma kwa ml 6 lila moja???
 
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke.

Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Bwana GONDWE NI KUWA ULIKUWA MTUMISHI WA ITV. VINGINEVYO ILE SIYO HABARI
Ualalamikia mpangokazi upi
 
Kwasababu ya chadema ndo mana watoto wanakaa chini shuleni? Au naongea uongo ndugu zangu?
Sijauza nyumba za umma kwa hawala yangu kabula?
Sijapora KOROSHO zenu?
Sijajimilikisha maghorofa ya NIC huko dodoma kwa ml 6 lila moja???
Umepora ruzuku na kuvunja miguu ulevin ukisingizia ccm
 
Umepora ruzuku na kuvunja miguu ulevin ukisingizia ccm
Bora kuvuja miguu ulevini kuliko kuwaita watengeneza ndege na kukaa nao chumbani huku sheria ya manunuzi ukiwa ameikalia matakoni inalowa jasho wewe unaagiza ndege uitakayo. Ufanyeje utasifiwa tu?
Je wajua 10% ya commission alipata kwa manunuzi yale haramu???
 
Walipeni wakandarasi fedha zao waweze kumaliza miradi kwa wakati.. Haiwezekani mkandarasi apeleke madai yake halafu hamumlipi.. Wafadhili wameweka pesa zao zote lakini kulipa ndio shida.
 
Wanamlipa Pesa Mkandarasi? Maana kama Mkandarasi analipwa kulingana na Mkataba hawezi kushindwa kufanya kazi, Serikali yetu ulipaje wake utakuwa wakusuasua tu
 
DC nenda pole pole mradi huu lazima mkubwa anaujua, yote yanayoendelea anajua!! Itakuwa wewe ndio unakosea kutoa matamko!
 
Back
Top Bottom