Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga?
Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa...
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib, amekishauri Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kujikita katika ufanyaji wa tafiti zenye lengo kutathimini...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine.
Makubi...
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania...
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali...
Katika hali ya Kushangaza kabisa na hakuna anayeamini ni kwamba hivi sasa Watu wawili ambao walikuwa ni Marafiki wakubwa mno kiasi kwamba wamefanya ‘ Dhambi ‘ nyingi nchini Kenya ambazo...
Kuna suala ambalo linatakiwa lifanyike kwenye elimu ambapo lingemsaidia Mheshiwa Rais katika suala la kujenga nchi kwenye uchumi wa viwanda.
Tunapojenga uchumi wa viwanda mtaala wa elimu...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.
Pumzika vema mzee Nditiye...
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo
Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au...
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid.
Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio...
Dkt. John Magufuli amesema haiwezekani kutengeneza Ajira Milioni 8 bila Viwanda, akisema itakuwa ni ndoto. Ametoa kauli hiyo leo wakati anazindua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Mkoani Morogoro...
Naomba anaweza kutupa taarifa juu ya huyu Bwana atujuze alipo maana muda mfupi uliopita nimesoma taarifa inayofanya nihoji kuhusu alipo.
Mwenye majibu tafadhali
Meneja Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro, akizungumza katika mkutano huo
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar-es-salaam (DAWASA) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji...
Muswada huo unapendekeza marekebisho katika Sheria ya Tafsiri ya Sheria (Sura ya 1), Sheria ya Mahakama za Migogoro ya Ardhi (Sura ya 216) na Sheria ya Mahakama za Mahakimu (Sura ya 11).
Wotu tunafahamu kuwa serikali haina dini ila ni serikali hii hii inayosimamia uanzishwaji wa makanisa na misikiti na hata kuyasajili.
Binafsi naona wakati umefika serikali isiishie katika...
Public health
From Wikipedia, the free encyclopedia
Public health has been defined as "the science and art of preventing disease”, prolonging life and improving quality of life through organized...
Rais Magufuli amesema mbunge wa hapa ndugu Abood alichukua viwanda viwili bila kuviendeleza.
Amesema kuwa Mbunge wa Morogoro alichukua viwanda viwili Moprocco na Calvaly,amesema kiwandacha...
Binafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.
Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye...
Hali hii inatisha, maana inaonyesha Watanzania wamekosa imani na vyombo vyetu vya kutoa haki ikiwemo mahakama.
Malalamiko ya wizi wa kura, uvunjifu wa taratibu, rushwa na ukiukaji wa sheria...
A second person has died of Ebola in eastern Democratic Republic of Congo following a resurgence of the disease, three months after authorities declared the end of the country's latest outbreak...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.