Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Tunajenga Taifa moja la Tanzania kwanini mnawaita Wabunge wa viti maalum wa CHADEMA Covid -19 yaani Halima Mdee na wenzake 18? Spika na Mamlaka ni vyema mkalikemea hili jambo, Hawa 19...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Mgombea Namba 21: Ni Bakar Rashid Bakar ni miongoni mwa wagombea wa kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Mshauri mmoja wa mambo ya saikolokjia na jamii aliyefuatilia mlipuko wa Corona unaosababishwa na Virusi vya. Covid-19 ameshauri ifuatavyo: 1. Jitenge mwenyewe usipate taarifa mbaya za ugonjwa huu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika maisha ili uweze kuelewa masuala mengi kwa urahisi na upana wake lazma ujifunze kuwaza na kufikiri kwa akili ya kawaida hii kitaalamu wanaita "common sense". Yaani ile akili ya kwanza...
49 Reactions
125 Replies
14K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. Kunenge amesema Dar es salaam ilikuwa kama Dubai ikizihudumia nchi za Afrika mashariki lakini haijulikani kitu gani kimeirudisha nyuma. Kunenge amewataka...
13 Reactions
191 Replies
14K Views
Wanabodi poleni kwa majukumu ya kufukuzana na shilingi inayopepea. Ibara ya 14 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kisasema 'Kila mtu anayo Haki ya kuishi na kupata kutoka katika jamii...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana. Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake. Sasa chukua kolabo ya hulka...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wapinzani wamelalamika sana juu ya matajiri kusomeshwa namba ikiwemo Kodi kubwa. Wakapewa majina yote mara ni wapiga dili, wahujumu, wanatumika na mabeberu. Wakiongea, CCM huwapotezea muda kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Ngome ya vijana tunamshukuru Mh.Ndugai kwa kulisemea suala la mikopo elimu ya juu jana tar 11/Februari 2021 Bungeni kwa kusema wazi kwamba mikopo elimu ya juu ni Kama biashara sasa hivi sababu ya...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu ni muendelezo wa viongozi wetu waliopewa madaraka ya kutuongoza kujichukulia madaraka yasiyo yakwao. Walianza kututandika viboko na sasa wameamua kutuamulia tunyoe mitindo gani == 'Vijana...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa. Dk Chaya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa soko kuu la kisasa la mkoa alipitisha na kulipa jina la soko hilo kuwa Chifu Kingalu Mwanabanzi. Huyu ni...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Chanzo: Tahadhari ya Kiafya - Ongezeko la visa vya COVID-19 | Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania
28 Reactions
222 Replies
18K Views
Kama umesoma historia ya nchi hii hasa katika mapambano au vita vya kupigana na mkoloni, bila shaka utakuwa umesoma na habari ya Mzee Kinjekitile Ngwale, kiongozi alieongoza watu wake katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
TAKUKURU MKOA WA SHINYANGA MWALIMU ATIWA HATIANI KWA KOSA LA KUHUJUMU UCHUMI. Leo tarehe 10/02/2021 ofisi ya TAKUKURU mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani. "Ni aibu sana...
9 Reactions
121 Replies
16K Views
Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa. Akizungumza leo bungeni jijini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dunia nzima kila mtu ana wasi wasi na kuogopa hata Wamarekani wenyewe na Wazungu ni ngumu kukuta wakishabikia vita na kufurahia, lakini sasa hivi Watanzania wamegeuza ni Yanga vs Simba post baada...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Ni habari njema kwa wapenda maendeleo wote nchini Tanzania shukrani kwa Uongozi imara wa Mhesh Rais Dkt John Pombe Magufuli. Serikali ya Tanzania itapokea tshs bilioni 8 mahsusi kwa ajili ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom