Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huwezi kutaka sheria ziwe kwa lugha ya Kiswahili, halafu wakati huohuo unawatrain wanasheria wako kwa Kiingereza, kufanya hivyo ni kujaribu kuweka mkokoteni mbele ya punda ausukume kwenda mbele...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mheshimiwa Magufuli itakuwa ni kiongozi au tuseme raisi wa mwanzo kupata nafasi ya kuiongoza Tanzania hadi pale waTanzania watakapomtaka apumzike kutokana na uzee, ila uzee dawa anaweza kuendelea...
0 Reactions
12 Replies
895 Views
Kuna mtu anamiki kampuni ya mabus, tunapanda tunalipa nauli na kusafirisha mizigo, anamiliki radio, tunasikiliza tunashirikiana naye anafanikiwa. Fedha zetu za nauli anazitumia kuhonga kwa tume...
41 Reactions
103 Replies
12K Views
Saalam! Nimekuwa nikijiuliza Sana juu ya gharama watanzania Kama taifa kugharimia viongozi wa juu wanapomaliza muda wao wa kuliongoza taifa. Ni gharama kubwa Sana, ukizingatia siyo wachache na...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera...
30 Reactions
290 Replies
22K Views
Kwa mujibu wa RAIA TANZANIA, Maalim Seif Augwaya Mkwara wa Magufuli..Aenda Kwenye matibabu bila posho , Maombi yake yadunda ofisini kwa Dr Shein
3 Reactions
107 Replies
15K Views
Inakuwaje wanajamvi! Kama mnakumba kampeni ya uchaguzi mkuu 2010 kuna mwanasiasa fulani jukwaani tena live mubashara kwenye TV alimtukana wazi wazi mama mzazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama hujui hii sasa ni moja ya mahakama yenye wingi wa kesi. Hadi June mwaka huu ilikuwa na majaji watatu tu yaani Jaji Mipawa, Jaji Mashaka na Jaji Aisha. Majaji hao watatu wanasikiliza kesi za...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuhusu Sheria ya Mawakili, alisema inalenga kuanzisha Kamati za Maadili za Mawakili kwa ngazi ya mkoa ili kurahisisha upatikanaji wa haki. “Pia, kumwezesha mwananchi anayemlalamikia wakili kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana Magufuli amemponda sana Mbunge Aziz Abood kwa kuua viwanda lakini kuna kauli haijaeleweka na wadau wa Morogoro wamekuwa kimya kuhusu baadhi ya kauli. Ninalazimika kuandika kuhusu kauli hizo...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Mabibi na Mabwana hapa ni Dar katika mapambano dhidi ya Corona. Kwa hakika hawa wameonyesha njia kwani hizi ni jitihada binafsi baada ya kutambua ugonjwa huu upo na biashara ni asubuhi. Kama...
17 Reactions
92 Replies
14K Views
Kuna watu wamefika mahali wakasema Rais ni mwizi jamani tumuogope Mungu huyu mzee wa watu angekuwa mwizi hata hizo kamati zisingeundwa tatizo ni walio mzunguka kwakweli wanaliangamiza taifa tuna...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kamati ya Bunge zima leo imepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2021 baada ya kuipitia Ibara kwa Ibara. Muswada huo unalenga kufanya marekebisho katika Sheria zipatazo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Tunakwenda kutafuta uzalendo kwenye historia Leo hii karne ya 21, karne ambayo watu awataki kupoteza muda kusoma vitu visivyo na tija maishani Bali wanawaza kuwaza namna yakufanya ubunifu katika...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
SERIKALI imewasilisha bungeni muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali ambapo pamoja na mambo mengine, unalenga kuzibana kurusha ndege zisizo na rubani kutokana na sababu za kiusalama. Kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tatizo la lugha linaendana na uwezo wa kiuchumi na ukubwa wa idadi ya watu wanaozungumza lugha husika. Tanzania tumeanza kupigania lugha ya Kiswahili itambulike Duniani lakini tunapaswa kujiuliza...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo Dkt. Mwigilu Nchemba alisamama kuhitimisha hoja ya mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa wa miaka mitano kwa mwaka 2021/22 hadi 2025/26 kwa niaba ya wizara ya fedha na wabunge...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana CCM wameanza kusimama na kuhesabiwa, baada ya Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete kusema mawazo ya Mbunge wa Makambako CCM Deo Sanga kuhusu kuongezewa muda rais Magufuli kuwa ni mawazo yake...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
"Naomba nisisitize. Akifeli mwanamke kwenye nafasi aliyopewa achukuliwe kama yeye mwenyewe na isichukukiwe kwamba ni jamii nzima ya wanawake imefeli, kwa sababu ipo hiyo akifeli utasikia wanawake...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom