Msemaji wa Serikali, Dr. Abbas yupo wapi?

Naomba anaweza kutupa taarifa juu ya huyu Bwana atujuze alipo maana muda mfupi uliopita nimesoma taarifa inayofanya nihoji kuhusu alipo.

Mwenye majibu tafadhali.
Tangu aseme uongo kule twitter wakampiga ban kwenye ile account ya Msemaji wa Serikali amekuwa adimu sana.
 
Tujuze Mkuu
1613152832233.jpeg
 
Back
Top Bottom