Baada ya Mbunge wa Muhambwe kufariki. Je, CHADEMA washiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo au wapotezee?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo

Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?

Maoni yako ni yapi?
 
Never again, chini ya Tume hii ya Mahera na zaidi chini ya utawala huu wa huyu jamaa.
 
Unashiriki uchaguzi ambao unajua unasimamiwa na Tume FAKE na HARAMU ili iweje? 😳
But this has been the case since 1995.

Labda wakati huu akili itakuwa imekaa sawa. Hakuna haja ya kushiriki hizi chafuzi maana mshindi huwa keshaandaliwa. But again, you never know with our politicians!
 
Back
Top Bottom