Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wizara ya Fedha na Mipango imesisitiza kuwa deni la taifa bado ni himilivu na uchambuzi wake unazingitia vigezo vyote vya Shirika la Fedha Duniani (IMF). Waziri wa Katiba na Sheria Dk Mwigulu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Kama wananchi moja ya jukumu letu la kiuzalendo ni kuhakikisha nchi inaongozwa kwa weledi wahali yajuu na hatupigi "maktaimu" maana muda hautusubiri. Binafsi siridhiki na utendaji wa Waziri Mkuu...
2 Reactions
2 Replies
714 Views
JE, KUNA HAJA YA RAIS MAGUFULI KUWA NA HOFU NA MASHAKA JUU YA CHANJO YA CORONA? Kwa Mkono wa, Robert Heriel Dunia kwa sasa ipo katika mjadala mkubwa kuhusiana na janga la Corona na chanjo zake...
4 Reactions
100 Replies
6K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa sana. Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa...
4 Reactions
62 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Hamis ameliambia Bunge leo Ijumaa Februari 12, 2021 Jijini Dodoma kuwa hakuna mfanyabiashara aliyekimbia biashara yake kwa sababu ya kodi. Ametoa kauli hiyo...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni. Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Vijana kama vijana tunasakamwa kila kona.Ukianzia nyumbani hapasomeki, wazazi wakati mwingine wanakuona kama mzigo, ukija kwa watengeneza sera wa nchi ndo balaaa! Viongozi wetu balaaa kubwa.Mara...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania. Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo...
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Hivi mnajua kuna walimu wapya waliripoti mashuleni tangu tarehe 14 mwezi 12/ 2020 Na mpaka sasa hakuna chochote walichopata zaidi ya matamko yenu mitandaoni? Je mnajua wanajikimu vipi huko...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hizi tuhuma zimekuwepo kwa muda mrefu kuwa watanzanzania au raia wa nje wanapotaka kwenda nje hutakiwa kupima Covid-19 na kupatiwa cheti kuonyesha kuwa hawana maambukizi. Lakini kumekuwa na na...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Mbunge wa Ngara (CCM), Ndaisaba Ruhoro amelitaka Bunge kutunga sheria itakayopiga marufuku matumizi ya vileo hadharani. Ruhoro alitoa kauli hiyo wakati akichangia Mpango wa Serikali jana bungeni...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Godwin Gondwe, ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Syno Hydro kuwalipa wafanyakazi ambao hawajawalipa madai yao halali wafanyakazi wa kampuni hiyo. "Tito ni mfano wa...
2 Reactions
1 Replies
952 Views
Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa. muongozo huu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30. Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Serikali lazima iweke uwazi, kodi za majengo zinatakiwa zilipwe kulingana na thamani ya jengo husika na thamani ya majengo huongozwa na hadhi ya sehemu husika. Mfano jengo la Kariakoo haliwezi...
9 Reactions
34 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh Mongela amesema Idara ya uhamiaji mkoani humo imefanikiwa kumkamata David Kasesela ambaye ni master mind wa biashara ya kusafirisha biashara haramu. Mongela amesema kwa...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Ni sahihi pia kusema Tanzania kuna 'Public Policy Crisis'. Ntatumia neno Sera nikimaanisha 'Public Policy'. Sera ni nini? Sera unaweza kusema ni sheria au miongozo ambayo inawekwa ili kutatua...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu amani iwe nanyi. Hivi Jana tarehe 10 Februari waziri wa kilimo prof Mkenda alitoa msimamo wa Serikali juu ya sharehe za maonesho ya kilimo ya wakulima Nanenane, ambapo alisema kuwa serikali...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom