Tanzania ina Mazingira mabaya ya Uwekezaji

Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
3,183
7,645
Nchi ya Tanzania, ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na mazingira mabaya kabisa ya uwekezaji katika sekta ya madini, ikifuatiwa na nchi ya Venezuela.

Hii ndiyo sababu, kwa nini leo hii huweza kupata hela kutoka soko lolote la fedha Duniani (Share/Stock markets) kwaajili ya kuwekeza mradi uliopo Tanzania. Watawala walitambue hilo.

Na kuna mtaalam mmoja maarufu kwenye biashara ya madini (sikumbuki jina lake), aliwahi kutamka kuwa ni aheri ukachimbe madini mwezini kuliko kwenda kuchimba Tanzania.

Kuna baadhi ya watu, kwa sababu ya ujinga, wanaamini kuwa Tanzania ina madini mengi kuliko nchi yoyote Duniani, na hivyo Tanzania inaweza kufanya chochote kwenye sekta hiyo, na wawekezaji wakalazimika kuja kuwekeza kwa sababu wasipokuja hapa, hakuna kungine watakakokwenda kupata. Wakati ukweli ni kuwa:

1) Dhahabu yote ya Tanzania iloyochimbwa na iliyobakia ikiijumlishwa kwa pamoja, haifikii hata kiasi cha dhahabu ya mgodi mmoja wa South Africa (Witwatersrand - South Africa), Marekani (Homestake) au Superpit (Australia)

2) Tanzania haipo hata katika top 10 ya nchi zenye utajiri mkubwa wa madini Duniani

3) Gas iliyopo Msumbiji ni nyingi kuliko iliyopo Tanzania

4) Concentrates/makinikia kwa miaka mingi yamekuwa yakisafirishwa toka nchi za Afrika Kusini, US, Canada, Australia, Indonesia, Zambia, Russia, etc, kwenda kuchenjuliwa Japan, nje ya mataifa yao. Halafu eti yale ya Tanzania pekee, ndiyo tuwe tunaibiwa! Lazima uwe mjinga sana kuliamini hilo. Watawala wamejifunza kwa namna ngumu na kwa gharama kubwa kuhusu hili. Na baadaye kukubali kuwa hakuna tija ya kuwa na smelter nchini kwaajili ya makinikia. Sasa ni ruksa kwa mtu yeyote kupeleka makinikia mahali popote Duniani kwenda kuchenjuliwa.

Ukiiondoa sekta ya madini, ukweli mwingine ni kuwa:

1) Nchi zote zinazotuzunguka, zina mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kuliko Tanzania

2) Dunia haiwezi kutetereka kwa namna yoyote ile ckwa kukosa chochote toka Tanzania. Lakini Tanzania haiwezi kuwepo bila ya Dunia. Wakati tunataka kufaidika na rasilimali zilizopo, tulitakiwa kuwa werevu wa kutambua ni nini tunaweza kufanya na nini hatuweza. Refer to Cerenity Prayer - God, grant me the serenity to accept the things I cannot change, courage to change the things I can, and wisdom to know the difference.

3) Wakati Tanzania inatamba kwa kudai ina vivutio vingi vya utalii, mapato yatokanayo na utalii ni kama $3 billion tu kwa mwaka, Misri kutokana na mapiramidi yao wanapata $5 billion, South Africa $7 billion, jiji la Paris pekee (siyo nchi ya Ufaransa) $81 billion. Italii ni zaidi ya kuwa na vivutio. Vivutio vimewekwa na Mungu, sisi tumefanya nini kuvipa thamani. Ndiyo maana naamini kuwa Mawaziri wote waliowahi kupita kwenye Wizara ya utalii pamoja na makatibu wakuu na wakurugenzi wao, hakuna lolote la maana walilofanya kwenye hiyo sekta.

4) Utajiri mkubwa ni akili, mali za asili ni ingridients tu. Kwenye utalii wa Tanzania hakuna akili wala maarifa ndani yake.

5) Awamu ya 5, katika suala la uchumi imeyumba sana kwa kutotambua kweli za msingi unapotaka kuujenga uchumi

6) Hakuna hata nchi 1 Duniani iliyokuwa maskini ambayo iliendelea kwa kuongeza ukubwa au uwingi wa kodi. Kodi huua uwekezaji na ukuzaji wa mitaji ambayo ingepanua ukubwa wa uwekezaji

7) Kuna mifano mingi ya mataifa yaliyokuwa maskini yaliyogeuka kuwa matajiri kwa kufuta au kupunguza kodi, Dubai ni mojawapo.

Soma hii taarifa hapa chini inayoeleza kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kwa mazingira mabaya ya uwekezaji katika sekta ya madini:

Annual Survey of Mining Companies, 2019

— Published on February 25, 2020

This report presents the results of the Fraser Institute’s 2019 annual survey of mining and exploration companies. The survey is an attempt to assess how mineral endowments and public policy factors such as taxation and regulatory uncertainty affect exploration investment. The survey was circulated electronically to approximately 2,400 individuals between August 20th to November 8th, 2019. Survey responses have been tallied to rank provinces, states, and countries according to the extent that public policy factors encourage or discourage mining investment.
We received a total of 263 responses for the survey, providing sufficient data to evaluate 76 jurisdictions. By way of comparison, 83 jurisdictions were evaluated in 2018, 91 in 2017, 104 in 2016, and 109 in 2015. The number of jurisdictions that can be included in the study tends to wax and wane as the mining sector grows or shrinks due to commodity prices and sectoral factors.
Like last year’s survey, this year’s survey also includes an analysis of permit times.

The Investment Attractiveness Index takes both mineral and policy perception into consideration

An overall Investment Attractiveness Index is constructed by combining the Best Practices Mineral Potential index, which rates regions based on their geologic attractiveness, and the Policy Perception Index, a composite index that measures the effects of government policy on attitudes toward exploration investment. While it is useful to measure the attractiveness of a jurisdiction based on policy factors such as onerous regulations, taxation levels, the quality of infrastructure, and the other policy related questions that respondents answered, the Policy Perception Index alone does not recognize the fact that investment decisions are often sizably based on the pure mineral potential of a jurisdiction. Indeed, as discussed below, respondents consistently indicate that approximately 40 percent of their investment decision is determined by policy factors.

The top

The top jurisdiction in the world for investment based on the Investment Attractiveness Index is Western Australia, which moved up from 2nd place in 2018. Finland moved into 2nd place after ranking 17th the previous year. Nevada moved down two spots from 1st in 2018 to 3rd in 2019. Alaska ranked 4th this year, and Portugal improved from 46th in 2018 to 5th in 2019. Rounding out the top 10 are South Australia, the Republic of Ireland, Idaho, Arizona, and Sweden.

The bottom

When considering both policy and mineral potential in the Investment Attractiveness Index, Tanzania ranks as the least attractive jurisdiction in the world for investment. This year, Tanzania replaced Venezuela as the least attractive jurisdiction in the world. Also in the bottom 10 (beginning with the worst) are Argentina: Chubut, Argentina: La Rioja, Guatemala, Dominican Republic, Zambia, Venezuela, the Democratic Republic of Congo, Mali, and Nicaragua.

The Fraser Institute is an independent, non-partisan research and educational organization based in Canada. We have offices in Calgary, Montreal, Toronto.
2021 Fraser Institute. All rights reserved.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nadhani ungeweka nukuu sawa!Kwa mujibu wa maelezo hapo juu,ni ya mwisho kwenye kuvutia uwekezaji sekta ya madini!
Hilo naweza kuafiki kulingana na mazingira ya sasa ya kutotabirika!
 
Pole Mkuu, endelea tu kutafuta ugali wako. Stress ni nyingi mno
Sina stress hata kidogo. Naionea huruma nchi yangu. Mimi binafsi siathiriki chochote maana siyategemei mazingira ya Tanzania.

Corona inaweza kuniathiri zaidi kuliko mazingira ya Tanzania maana nahitajika kusafiri zaidi, na hiyo kwa sasa ni changamoto kiasi, japo siyo kwa kiwango kikubwa.

Lakini hata ungekuwa wapi, nyumbani ni nyumbani. Hata ukiwa ugenini, kinachotokea nyumbani kwako kinakugusa, positively au negatively.

Kwani umesikia madini ya tanzania yamekosa soko?
Hao wanaolalamika ni wale waliokuwa wanaiba madini yetu na sasa wako nje wanatumia magazeti kuongopa.
Pengine Accacia wamo kwenye hiyo taarifa na jomaa Tundu L.

Haya madini yakikosa soko njoo thapa utujulishe lakini kwa uzalishaji wa sasa bado serikali ina pata zaidi kuluko hao mabeberu walivyokuwa wanafulahia uwekezaki wao haramu hapa tanzania.

Hatuwezi kuhitaji sifa za kijinga wakati tunaibiwa na tunaumia eti tuwafulahishe hao wawekezaji wezi.
 
Umeishia darasa la ngapi! Hata kuandika tu, tena lugha yetu ya Kiswahili, ni tatizo! Na bado unaamini unaweza kuchangia mambo yanayohusu weledi?

Nashauri utumie muda wako mwingi kujifunza humu jukwaani kuliko kufikiria umefikia uwezo wa kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ifikie kipindi tuwekeze kwenye brain na sio nguvu ulimwegu wa sasa uko softcated watu hufanya maamuzi kulingana na data na sio hisia na nguvu..kiukweli inauma kuona viongozi walioko juu wana feli vibaya ilihali solutions haihitaji degree we have to change for the sake of this nation..siasa tuachane nazo kabisa uongozi ni majukumu na sio mambo ya kufanikiwa kisiasa do for the country kwasababu cheo utaacha na nchi utaiacha na hela unaacha...selfish mbaya tuna kila sababu ya kua na nchi yenye uchumi mzuri kabisa kama Egypt na south.
 
Nchi ya Tanzania, ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na mazingira mabaya kabisa ya uwekezaji katika sekta ya madini, ikifuatiwa na nchi ya Venezuela.

Hii ndiyo sababu, kwa nini leo hii huweza kupata hela kutoka soko lolote la fedha Duniani (Share/Stock marjets) kwaajili ya kuwekeza mradi uliopo Tanzania. Watawala walitambue hilo.

Na kuna mtaalam mmoja maarufu kwenye biashara ya madini (sikumbuki jina lake), aliwahi kutamka kuwa ni aheri ukachimbe madini mwezini kuliko kwenda kuchimba Tanzania.

Kuna baadhi ya watu, kwa sababu ya ujinga, wanaamini kuwa Tanzania ina madini mengi kuliko nchi yoyote Duniani, na hivyo Tanzania inaweza kufanya chochote kwenye sekta hiyo, na wawekezaji wakalazimika kuja kuwekza kwa sababu wasipokuja hapa, hakuna kungine watakakokwenda kupata. Wakati ukweli ni kuwa:

1) Dhahabu yote ya Tanzania ikijumlishwa pamoja, haifikii hata kiasi cha dhahabu ya mgodi mmoja wa South Africa (Witwatersrand - South Africa), Marekani (Homestake) au Superpit (Australia)

2) Tanzania haipo hata katika top 10 ya nchi zenye utajiri mkubwa wa madini Duniani

3) Gas iliyopo Msumbiji ni nyingi kuliko iliyopo Tanzania

4) Concentrates/makinikia kwa miaka mingi yamekuwa yakisafirishwa toka nchi za Afrika Kusini, US, Canada, Australia, Indonesia, Zambia, Russia, etc, kwenda kuchenjuliwa Japan, nje ya mataifa yao. Halafu eti yale ya Tanzania pekee, ndiyo tuwe tunaibiwa! Lazima uwe mjinga sana kuliamini hilo. Watawala wamejifunza kwa namna ngumu na kwa gharama kubwa kuhusu hili. Na baadaye kukubali kuwa hakuna tija ya kuwa na smelter nchini kwaajili ya makinikia. Sasa ni ruksa kwa mtu yeyote kupeleka makinikia mahali popote Duniani kwenda kuchanjuliwa.

Ukiiondoa sekta ya madini, ukweli mwingine ni kuwa:

1) Nchi zote zinazotuzunguka, zina mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kuliko Tanzania

2) Dunia haiwezi kutetereka kwa chochote kwa kukosa chochote toka Tanzania. Lakini Tanzania haiwezi kuwepo bila ya Dunia. Wakati tunataka kufaidika na rasilimali zilizopo, tulitakiwa kuwa werevu wa kutambua ni nini tunaweza kufanya na nini hatuweza. Refer to Cerenity Prayer - God, grant me the serenity to accept the things I cannot change,
courage to change the things I can,
and wisdom to know the difference.

3) Wakati Tanzania inatamba kwa kudai ina vivutio vingi vya utalii, mapato yatokanayo na utalii ni kama $3 billion tu kwa mwaka, Misri kutokana na mapiramidi yao wanapata $5 billion, South Africa $7 billion, jiji la Paris pekee (siyo nchi ya Ufaransa) $81 billion.

4) Utajiri mkubwa ni akili, mali za asili ni ingridients tu

5) Awamu ya 5, katika suala la uchumi imeyumba sana kwa kutotambua kweli za msingi unapotaka kuujenga uchumi

6) Hakuna hata nchi 1 Duniani iliyokuwa maskini ambayo iliendelea kwa kuongeza ukubwa au uwingi wa kodi. Kodi huua uwekezaji na ukuzaji wa mitaji ambayo ingepanua ukubwa wa uwekezaji

7) Kuna mifano mingi ya mataifa yaliyokuwa maskini yaliyogeuka kuwa matajiri kwa kufuta au kupunguza kodi, Dubai ni mojawapo.

Soma hii taarifa hapa chini inayoeleza kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza kwa mazingira mabaya ya uwekezaji katika sekta ya madini:

Annual Survey of Mining Companies, 2019

— Published on February 25, 2020

This report presents the results of the Fraser Institute’s 2019 annual survey of mining and exploration companies. The survey is an attempt to assess how mineral endowments and public policy factors such as taxation and regulatory uncertainty affect exploration investment. The survey was circulated electronically to ap

Annual Survey of Mining Companies, 2019

— Published on February 25, 2020

This report presents the results of the Fraser Institute’s 2019 annual survey of mining and exploration companies. The survey is an attempt to assess how mineral endowments and public policy factors such as taxation and regulatory uncertainty affect exploration investment. The survey was circulated electronically to approximately 2,400 individuals between August 20th to November 8th, 2019. Survey responses have been tallied to rank provinces, states, and countries according to the extent that public policy factors encourage or discourage mining investment.
We received a total of 263 responses for the survey, providing sufficient data to evaluate 76 jurisdictions. By way of comparison, 83 jurisdictions were evaluated in 2018, 91 in 2017, 104 in 2016, and 109 in 2015. The number of jurisdictions that can be included in the study tends to wax and wane as the mining sector grows or shrinks due to commodity prices and sectoral factors.
Like last year’s survey, this year’s survey also includes an analysis of permit times.

The Investment Attractiveness Index takes both mineral and policy perception into consideration

An overall Investment Attractiveness Index is constructed by combining the Best Practices Mineral Potential index, which rates regions based on their geologic attractiveness, and the Policy Perception Index, a composite index that measures the effects of government policy on attitudes toward exploration investment. While it is useful to measure the attractiveness of a jurisdiction based on policy factors such as onerous regulations, taxation levels, the quality of infrastructure, and the other policy related questions that respondents answered, the Policy Perception Index alone does not recognize the fact that investment decisions are often sizably based on the pure mineral potential of a jurisdiction. Indeed, as discussed below, respondents consistently indicate that approximately 40 percent of their investment decision is determined by policy factors.

The top

The top jurisdiction in the world for investment based on the Investment Attractiveness Index is Western Australia, which moved up from 2nd place in 2018. Finland moved into 2nd place after ranking 17th the previous year. Nevada moved down two spots from 1st in 2018 to 3rd in 2019. Alaska ranked 4th this year, and Portugal improved from 46th in 2018 to 5th in 2019. Rounding out the top 10 are South Australia, the Republic of Ireland, Idaho, Arizona, and Sweden.

The bottom

When considering both policy and mineral potential in the Investment Attractiveness Index, Tanzania ranks as the least attractive jurisdiction in the world for investment. This year, Tanzania replaced Venezuela as the least attractive jurisdiction in the world. Also in the bottom 10 (beginning with the worst) are Argentina: Chubut, Argentina: La Rioja, Guatemala, Dominican Republic, Zambia, Venezuela, the Democratic Republic of Congo, Mali, and Nicaragua.

The Fraser Institute is an independent, non-partisan research and educational organization based in Canada. We have offices in Calgary, Montreal, Toronto.
2021 Fraser Institute. All rights reserved.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaambiwa "umetumwa na mabeberu".
Lakini ukweli ndiyo huo.Huwezi kuza uchumi kwa kudidimiza wazalishaji.Gharama za maisha juu na mzunguko wa fedha mdogo.Mitaji ya nje na ndani ni kichocheo cha ukuaji wa uchumi. Siku hizi hata milioni 10 tu ikiingia A/c yako shida.Sijui lengo ni kufanya maisha yawe kama ya 1970?????
 
Sina stress hata kidogo. Naionea huruma nchi yangu. Mimi binafsi siathiriki chochote maana siyategemei mazingira ya Tanzania.

Corona inaweza kuniathiri zaidi kuliko mazingira ya Tanzania maana nahitajika kusafiri zaidi, na hiyo kwa sasa ni changamoto kiasi, japo siyo kwa kiwango kikubwa.

Lakini hata ungekuwa wapi, nyumbani ni nyumbani. Hata ukiwa ugenini, kinachotokea nyumbani kwako kinakugusa, positively au negatively.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mkuu
 
Ni thread nzuri, lakini inahitaji uchunguzi wa ndani sana kuliko ilivyo. Kwani umekaa kiuandishi wa magazetini zaidi, kuliko hali halisi. Kwa mfano ni kweli s. Afrika wanakwenda kuchenjua madini nje, lakini mkataba wao na hayo makampuni umekaaje. Na wao (serikali) wanapata 3% kama tulivyokuwa tunapata sisi. Tafakari.

Pili, kama katika utalii tunapata $3 billioni kwa mwaka wakati Misri wanapata $5billioni na S Afrika $7 billioni. Aisee tumejitahidi sana. Fikiria umaarufu wa Misri toka miaka ya 70 imefahamika kwa utalii, S Afrika ndio nisiseme maana yenyewe ni toka enzi Za makaburu- Waholanzi, Ubelgiji, Uingereza, Ufaransa, Marekani n.k wakitaka kupumzika Afrika toka miaka ya 60 walikuwa wanakwenda huko. Leo kupata pato karibu 50% ya S Afrika ni bingo.

Tuna mapungufu mengi lakini mnyonge, mnyongeni ila haki yake mpeni.
 
Back
Top Bottom