Kilichofanya upinzani ukatoswa Oktoba 2020 mmekisahau? Mbona mnarudia makosa?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na ACT Wazalendo walitoka bungeni na kuamua kuji-quarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata.

Kitendo hiki kilimuuzi kila mtanzania na kwa uhakika ndio sababu kubwa ya kuwaadhibu wapinzani kwenye sanduku la kura.

Wananchi walitoa adhabu kwa kutumia ballot paper sababu tu ya upinzani kukosa uzalendo wakati kuna janga la kidunia. Maana kama taifa lipo kwenye majanga kwa nini wapinzani watake kuchukua political advantage? Ni upuuzi wa kisiasa.

Sasa tena pamoja na kuwa mmekufa kifo cha mende bado mnaendekeza siasa za kishamba. Mnadhani kufurahia kuwepo kwa Covid 19 ndio advantage kisiasa? Wananchi tunawachora na huenda msinyanyuke kabisa hapo mlipolala kifo cha mende.
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,498
2,000
Nani wa kuamini haya unayosema? Tulipiga kura, na nani angekuchagua wewe na Chadema?

Narudia tena, acha utoto dogo, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
 

Lukonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
248
500
Wakati mwingine kukaa kimya kunaweza kukupa heshima zaidi.

Kumbuka mitihani ya ukubwani huwa unapata negative/hasi score. Unaweza kumaliza mtihani unadaiwa/hasi badala ya kukusanya pointi. Tafakari
 

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
Narudia tena, acha utoto dogo, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Kama haukua uchaguzi mlishiriki ili iweje? Sio uchaguzi baada ya kushindwa?
 

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
..wananchi wanapoteza maisha kwa kufichwa taarifa za ugonjwa ili kumfurahisha mtu mmoja tu.

..kinachoendelea sasa hivi ni UNYAMA kwa Watanzani. haiwezekani wanachi wafe ili kulinda UONGO wa Bwana Mkubwa.
Kaaa chini utafakali
 

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,585
2,000
Mleta mada una uhakika upimzani ulitoswa Oktoba 2020?
Yaani kabisa hujui kilichotokea?
Tumia hata akili za jirani kufikiri kwa makini.
 

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
Mleta mada una uhakika upimzani ulitoswa Oktoba 2020?
Yaani kabisa hujui kilichotokea?
Tumia hata akili za jirani kufikiri kwa makini.
Kwa akili yako nani angeichagua Chadema ya Halima Mdee na Mbowe. Mmesahau walivyotoka nje Bungeni wakiwa wamevaa barakoa?
 

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
2,913
2,000
Hata kabla ya uchaguzi tulisema chini ya Magufuli hakuna uchaguzi, bali kuna upuuzi kama upuuzi mwingine.
Hata kabla ya uchaguzi tulijua wananchi hawataichagua Chadema ya Halima na Mbowe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom