Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania kuelekea katika uchumi wa viwanda, ushauri wangu juu ya uongozi huu ambao unataka kutupeleka katika uchumi wa viwanda. 1. UBORESHE MASLAHI KWA VIWANDA VILIVYOPO Hali iliyopo ni kwamba...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Member of the Central Committee of the Party @IsmailJussa has been severely beaten by the Zanzibar Armed Forces and he is currently at the Police Headquarters Hospital, Ziwani Zanzibar...
4 Reactions
54 Replies
13K Views
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati Mh Kalemani akiwa ziarani kikazi huko mkoani Tabora , Mh Kalemani amesema kwamba haiwezekani mtu yeyote kushindwa kulipa gharama ya kuwekewa umeme huo...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia. Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Vyombo vya habari vimekuwa vikimsifu Maalim Seif kama kiongozi alie pendwa sana na wazanzibari, kiongozi muadilifu na mwenye misimamo, kiongozi alie taka mabadiliko ya kisiasa Zanzibar na Uwongozi...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
HOTUBA YA NDUGU ZITTO ZUBERI RUYAGWA KABWE, KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAKATI WA MAZIKO YA MAREHEMU SEIF SHARIFF HAMAD, MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS...
16 Reactions
28 Replies
5K Views
Viongozi mbalimbali wako uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiongozwa na waziri mkuu mh. Majaliwa. Ndege iliyobeba mwili imeshawasili. Tukio liko mubashara Channel ten na...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Mhe. Rais na Serikali ya JMT kwa ujumla wake nawasalimu nyote. Ugonjwa huu wa UVIKO-19 ulipoanza mlipuko wake, ulikuja na dhana na imani tofauti tofauti(Various conspiracy theories). Hali hii...
2 Reactions
2 Replies
891 Views
Baraza la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda aombe radhi kwa Wizara ya Elimu, Chuo Kikuu Huria na Umma kwa waraka wa tahadhari ya...
9 Reactions
153 Replies
20K Views
Leo ni mazishi ya makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na mwili umeshawasili msikiti wa Maamur kutoka Lugalo. Watu kadhaa wamefika ikiwemo kiongozi wa ACT, Zitto Kabwe...
12 Reactions
84 Replies
14K Views
Wewe badala ya Kumuambia wazi wazi Boss wako kuwa Tanzania sasa hali ni mbaya dhidi ya Corona ukaona utafute Sifa mbele yake kwa kuja na Upuuzi wako wa Nyungu Season Two. Haya sasa hii Nyungu...
55 Reactions
111 Replies
10K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10...
8 Reactions
110 Replies
13K Views
Direct kwenye mada; Kama kuna mtu ana dalili za Covid 19 apimwe na akiwa positive atengwe. Wasiachiwe ndugu kumtibu na kueneza ugonjwa zaidi. Contact tracing ifanyike kubaini kama waliokuwa na...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Waziri wa zamani wa Katiba na Sheria, Balozi Bakari Mwapachu amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu, amesema...
9 Reactions
88 Replies
17K Views
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe amesema kuanzia sasa wasemaji wa maswala ya afya ni RMO kwa level ya mkoa na DMO kwa level ya wilaya. Prof Mchembe amesema waganga wa mikoa na wilaya...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Lindi mjini kila nyumba kila duka wananchi wanatozwa ushuru wa taka kumekuwa na utaratibu wa wananchi kutozwa ushuru kwa ajili ya usafi na utaratibu huo binafsi naona haujazingatia viwango kwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo...
49 Reactions
165 Replies
14K Views
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula amesema anatafakari na kuweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha atautangaza kwa Watanzania. Februari 15, 2021. Mwamakula alikamatwa na...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Hiki kitendo ni sawa na kuwanywesha sumu watumishi. Historia itakuhukumu tu. ======== Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma amewataka wajumbe waliovaa barakoa katika kikao cha baraza la...
12 Reactions
190 Replies
16K Views
Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza...
17 Reactions
48 Replies
7K Views
Back
Top Bottom