Mtazamo: Poor handling ya COVID-19 katika nchi fulani inaweza kuja kupelekea anguko kubwa la chama tawala katika Taifa hilo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,261
2,000
Kuna nchi moja (jina kapuni), viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata nchi zinazolizunguka Taifa hilo.

Inaonekana hata hatua wanazochukua ni mradi na wao waonekane wanapambana ila kiuweli hawako seriuos kiasi cha kuridhisha kwani kuna hatua muhimu wanapaswa kuzichukua ila wanaonekana kuzikwepa.

Ukifuatilia kwa makini, utagundua kuna mambo makuu kama matatu hivi yanapelekea wahusika kukwepa kuchukua hatua sahihi:

Dini
Katika hili la dini,inaonekana viongozi katika Taifa hilo wanaogopa kuwaudhi viongozi wa dini pale watakapokataza ibada kuendelea kwani hata viongozi wa dini katika Taifa hilo nao wanaonekana interest yao kubwa ni kulinda nasilahi yao fulani fulani na sio afya wala usalama wa waumini wao.

Kwakuwa viongozi hao wa dini wana waumini wengi nyuma yao,hivyo ni bora kutowaudhi na badala yake inaonekana ni bora kuwakumbatia ili nao wao wawe upande wa watawala ambao ni wanasiasa wanaotafuta kura.

Uchumi
Uchumi kwa maana ya mapato katika nchi hiyo kunaonekana kupewa kipaumbele kikubwa sana ka kiasi kwamba wanahofia kuporomosha mapato iwapo watachukua hatua sahihi za kudhibiti ugonjwa huu hivyo kwao mapato ni bora kuliko afya za watu wao.

Siasa
Siasa nayo inaonekana kupewa kipaumbele kuliko kuangalia wenzao katika nchi zingine wanachukua hatua gani kudhibiti gonjwa hili..

Hali hii msingi wake mkuu ni watu(wapiga kura) ambao wanaweza kuchukizwa na maamuzi ya watawala iwapo watawala watachukua maamuzi magumu katika kupambana na ugonjwa huu, maamuzi ambayo bila shaka yataathiri wananchi walio wengi katika Taifa hili hivyo wakubwa hao wameogopa ku-risk kwa kuchukua maamuzi hayo yanayoweza kuwagharimu kisiasa.

Hitimisho
Hata hivyo,japo watawala katika Taifa hilo wanasita kuchukua baadhi ya hatua sahihi ili kukwepa mambo hayo niliyoyataja hapo juu likiwemo swala la kuwaudhi wapiga kura wao,ni wananchi hao hao wanaoweza kuja kuwageuka na kuanza kuwalaumu na pengne kuwakataa kwa hoja wao ndio chanzo cha watu wengi kuathirika na huu ugonjwa iwapo kutakuja kutokea yanayotokea katika nchi za wenzetu ambako idadi ya vifo ni kubwa na ya kutisha.

Na hali hii itakuwa mbaya na ya hatari kwa watawala hao iwapo hali katika mataifa mengine (mataifa ambayo sasa watawala wake wanafanya maamuzi magumu) itakuwa shwari huku katika Taifa hilo hali ikiwa n i tete.

Hivyo,Watawa katika Taifa hilo waache kupambana zaidi vita ya maneno dhidi ya COVID-19 bali waingie katika uwanja wa mapambano kupambana katika vita halisi vinginevyo ipo siku hii poor handling ya vita dhidi ya COVID-19 inaweza kuja kuwagharimu afya zao mbali na nafasi zao za kisiasa.
 
SheriaE

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
462
500
Kuna nchi moja(jina kapuni),viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata nchi zinazolizunguka Taifa hilo.
Nayo hii ni code😄😃😀

Mtazamo: Poor handling ya COVID-19 katika nchi fulani inaweza kuja kupelekea anguko kubwa la chama tawala katika Taifa hilo.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
5,333
2,000
Kuna nchi moja (jina kapuni), viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata nchi zinazolizunguka Taifa hilo.

Inaonekana hata hatua wanazochukua ni mradi na wao waonekane wanapambana ila kiuweli hawako seriuos kiasi cha kuridhisha kwani kuna hatua muhimu wanapaswa kuzichukua ila wanaonekana kuzikwepa.

Ukifuatilia kwa makini, utagundua kuna mambo makuu kama matatu hivi yanapelekea wahusika kukwepa kuchukua hatua sahihi:

Dini
Katika hili la dini,inaonekana viongozi katika Taifa hilo wanaogopa kuwaudhi viongozi wa dini pale watakapokataza ibada kuendelea kwani hata viongozi wa dini katika Taifa hilo nao wanaonekana interest yao kubwa ni kulinda nasilahi yao fulani fulani na sio afya wala usalama wa waumini wao.

Kwakuwa viongozi hao wa dini wana waumini wengi nyuma yao,hivyo ni bora kutowaudhi na badala yake inaonekana ni bora kuwakumbatia ili nao wao wawe upande wa watawala ambao ni wanasiasa wanaotafuta kura.

Uchumi
Uchumi kwa maana ya mapato katika nchi hiyo kunaonekana kupewa kipaumbele kikubwa sana ka kiasi kwamba wanahofia kuporomosha mapato iwapo watachukua hatua sahihi za kudhibiti ugonjwa huu hivyo kwao mapato ni bora kuliko afya za watu wao.

Siasa
Siasa nayo inaonekana kupewa kipaumbele kuliko kuangalia wenzao katika nchi zingine wanachukua hatua gani kudhibiti gonjwa hili..

Hali hii msingi wake mkuu ni watu(wapiga kura) ambao wanaweza kuchukizwa na maamuzi ya watawala iwapo watawala watachukua maamuzi magumu katika kupambana na ugonjwa huu, maamuzi ambayo bila shaka yataathiri wananchi walio wengi katika Taifa hili hivyo wakubwa hao wameogopa ku-risk kwa kuchukua maamuzi hayo yanayoweza kuwagharimu kisiasa.

Hitimisho
Hata hivyo,japo watawala katika Taifa hilo wanasita kuchukua baadhi ya hatua sahihi ili kukwepa mambo hayo niliyoyataja hapo juu likiwemo swala la kuwaudhi wapiga kura wao,ni wananchi hao hao wanaoweza kuja kuwageuka na kuanza kuwalaumu na pengne kuwakataa kwa hoja wao ndio chanzo cha watu wengi kuathirika na huu ugonjwa iwapo kutakuja kutokea yanayotokea katika nchi za wenzetu ambako idadi ya vifo ni kubwa na ya kutisha.

Na hali hii itakuwa mbaya na ya hatari kwa watawala hao iwapo hali katika mataifa mengine (mataifa ambayo sasa watawala wake wanafanya maamuzi magumu) itakuwa shwari huku katika Taifa hilo hali ikiwa n i tete.

Hivyo,Watawa katika Taifa hilo waache kupambana zaidi vita ya maneno dhidi ya COVID-19 bali waingie katika uwanja wa mapambano kupambana katika vita halisi vinginevyo ipo siku hii poor handling ya vita dhidi ya COVID-19 inaweza kuja kuwagharimu afya zao mbali na nafasi zao za kisiasa.
Ndoto hizi zinaotwa na mtu anapolala Mtaa wa Ufipa!
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
7,271

Mwaka huu wapiga kura tuanamkiwa, Yale matusi na kejeli hatuzisikii tena, corona imewatibulia SGR, na Sligler hawana cha kujisifia,hwa MATAGA wapuuzi

Hawa wahuni Walisema wamejenga vituo vya afya kila wilaya lakini wameshindwa kuwa na maabara ya kupima korona kila wilaya

Hawa matapeli Walisema wana reserve ya kuhudumia nchi kwa miezi 6, Korona inakaribia kuwaumbua. Lakini wanaogopa lockdown ya mwezi mmoja tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom