matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,577
- 15,337
Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga la corona akasikia, hatupaswi tena kurudi nyuma.
Sasa sio wakati wa kuomba tena au kulialia ni wakati wa "Kumshukuru Mungu kwa kuliponya taifa wakati ule na sasa".
Tusiyumbishwe na Maneno. Nimefuatilia Watanzania wengi sana wanapenda kufa. Yaani mchana kutwa wanaongea kufa kufa tu, wanasahau maandiko yanasema suala la kufa au kuwa hai liko mikononi mwa ulimi.
Ukipenda na kutajataja na kufuatilia habari za kufa utakuwa hakika.
Ukipenda uzima, ukatamka uzima ukazungumzia uwezekano wa kuwa mzima katikakati ya tishio la kufa utakuwa mzima. Hii ni kanuni. Hata humu wengi tutawapoteza, na wengi watapoteza uhai kwa kupenda kufa, ulimi wao kujaa mambo ya kufa kufa.
Ujasiri wako kusimamia na Mungu wakati ule, wakati huu tangaza maombi ya shukrani tu kwa kile Mungu alichotufanyia bila kujali kinachoendelea humu na taaruki zinazotengenezwa ili watu warudi katika hali ya hofu. Nakuhakikishia tukishukuru wiki haiishi wasiwasi unaotengenezwa unakatika.
Tulianza na Mungu tumalize na Mungu bila kujali nini kinaendekea. Tulishinda kwa imani tumalize kwa imani.
Wakati Mungu anafanya kazi kwa imani. Ibirisi anafanya kazi kwa hofu, hata hofu za kisayansi na kibeberu.
Unapolialia jamani, ooh tuachieni tufe, fungeni mashule,masoko, tangazeni kila Kona kuna corona ili tufe jamani alafu hutoi mfano wa nchi iliyofanya hivyo ikapona ni UJINGA. Kwa maamuzi ya Kiungu nchi ilisonga, sasa tumshuruku tu.
Asante,