Wasifu wa Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Mhandisi John William Kijazi

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,819
Habari wana jamvi!

Hii habari ya Mh. Balozi Kijazi kupewe nafasi ya Katibu Mkuu nimeipokea kwa mikono 3...! Tafadhali, mwenye CV yake naomba aiweke hapa, tumjue kwa undani huyo kiongozi wetu mpya.

CURRICULUM VITAE

NAME: John William Herbert Kijazi
BORN: 18 November 1956
AGE: 59
MARITAL STATUS: Married
CHILDREN: Has three sons

EDUCATION
  • Bachelor of Science (Honours) in Civil Engineering, University of Dar es Salaam, Tanzania
  • Masters of Science in Highway Engineering, Birmingham University, UK
CAREER
  • 1982 – 1986 Assistant Executiver Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 1986 – 1996 Regional Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 1996 – 1999 Senior Road Maintenance Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 1999 – 2002 Director of Regional Roads, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 2002 – 2005 Permanent Secretary, Ministry of Public Works, Tanzania
  • Jan – Nov 2006 Permanent Secretary, Ministry of Infrastructure Development, Tanzania
  • Dec 2006 – Jun 2007 Special Duties, Minstry of Foreign Affairs and International Cooperation HQTS, Tanzania
  • Jun 2007 High Commissioner to India
  • 27 May 2013 High Commissioner to Singapore
LANGUAGES
English, Swahili
 
Habari wana jamvi!

Hii habari ya Mh. Balozi Kijazi kupewe nafasi ya Katibu Mkuu nimeipokea kwa mikono 3...! Tafadhali, mwenye CV yake naomba aiweke hapa, tumjue kwa undani huyo kiongozi wetu mpya.

Hana undugu na Bosi wa TANAPA, wanafanana kwa mbaali. Hakika Mzazi wao alizaa majembe. Hongera kwao na wake zao na watoto zao...!

Ongeza pia Na Dr Agness Kijazi
 
Kuna yule mwanamama wa Hali ya Hewa pia...Agnes Kijazi
 
Duhhh picha basi jamani mie binafsi hata simjui

New+Picture+(10).png

Huyo hapo, umeridhika, maana nyie ndio Matomaso
 
Habari wana jamvi!

Hii habari ya Mh. Balozi Kijazi kupewe nafasi ya Katibu Mkuu nimeipokea kwa mikono 3...! Tafadhali, mwenye CV yake naomba aiweke hapa, tumjue kwa undani huyo kiongozi wetu mpya.

Hana undugu na Bosi wa TANAPA, wanafanana kwa mbaali. Hakika Mzazi wao alizaa majembe. Hongera kwao na wake zao na watoto zao...!
Na yule mwanama Dr wa meteorogical/hali ya hewa ni ndugu pia? Mashavu yanaonesha kama dna zinaendana aisee. Mama amezaa vichwa,
 
Kama kijazi huyu mteule, yule wa Tanapa na wa TMA ni ndugu hakika nawapa pongezi hii familia. Pasco hawa ni ndugu moja?
 
Back
Top Bottom