Leo nikiwa ndani daladala kutoka Mwenge kwenda posta mpya , nikakutana na mabishano kati ya vijana watatu kuhusu chapisho la kijitabu cha Orodha ya Mafisadi Tanzania /The list of Shoddy Degree and...
Kumekuwa na mchango wa shilingi elfu 10 kwa kila kaya ambayo imeelezwa na wadai kuwa ni fedha zinazo changishwa kwa ajili ya kujenga shule ya kata nyamplukano shida sio wananchi kuchangia...
ASKOFU MWAMAKULA KUFANYA MIKUTANO JIJINI DAR ES SALAAM KABLA YA KWENDA MIKOANI!
Ndugu Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa!
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kuwa adhma yangu ya kuongoza...
Nianze na pongezi nyingi kwa mh. Rais JPM kwa ujasiri wako kuingoza nchi yetu kupigana vita ya uchumi wazi tangu tuzaliwe(TANZANIA) kama nchi 1961. Ni vita ya kwanza kabisa kuipigana waziwazi...
Salaam Wakuu,
Kutokana na Uhaba wa maji, Jiji la Dodoma kutengenezewa Mtambo Maalum wa Kuchakata maji taka kuwa maji safi kwa matumizi ya binadamu.
Katika Mji wa Serikali, Serikali imefany...
Kwa mujibu wa chama cha madaktari nchini MAT kimeandaa jopo la madaktari bingwa ili kutoa mwongozo namna wagonjwa wanaoumwa mfumo wa kupumua wapate tiba ya namna gani.
Kwa mujibu wa Dk Mwaibambe...
Kwa kweli tuna lakujifunza, kwa viongozi hawa wanao tambua kwamba wana wajibu wa kutuongoza katika mapambano ya corona.
Nilikua na mtu mmoja hapa, akaniambia nisiwe na hofu yoyote, baada ya...
Hii ni shule ya msingi iliyopo kijiji cha Itetema, kata ya Chikola jimbo la Manyoni Mashariki.
Kama mnavyoona wanafunzi wanakaa kwenye mawe hakuna madawati.
Shule hii inamwalimu mmoja tu!.
Choo...
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania...
WHO, Kama shirika lenye dhamana ya afya duniani imetambua Corona ni janga la kimataifa. Ikiwa ina maana dunia haitokua salama hadi adui huyu maradhi amethibitiwa duniani kote. Na kwa msingi huo...
Rais Magufuli amesema marehemu Balozi Kijazi alipaswa kustaafu 2017 lakini alimuongezea mkataba wa miaka miwili na ilipofika 2019 akamuongezea tena miaka miwili.
Rais Magufuli amesema kila...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi amewataka watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kujenga...
SPIKA wa Bunge Mstaafu ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa, kwa sasa anaamini kuwa Serikali haiwabani wabunge kuhoji jambo lolote bungeni, bali kutokana na woga na hofu isiyo...
Mjadala wa chanjo ya Corona una msimamo wa nchi na msimamo wa mtu binafsi.
Nchi haifi lakini mtu mmoja mmoja anakufa aidha kwa mapenzi ya Mwenyenzi MUngu au kwa kutotimia maarifa aliyopewa na...
Unaporudisha leseni ya HATI YA MAKAZI ili upate Hati Miliki ya Ardhi tunalipishwa malipo hayo "Surrender fee" anayejua kwanini tunalipishwa haya malipo,Msingi wake nini,naomba anipe ufafanuzi...
Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.
Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna COVID-19 isipokuwa "changamoto ya...
Jana tumeshuhudia maziko ya Mwanasiasa mkongwe yaliyofanyika huko Pemba Zanzibar kijijini Nyali Mtambwe na kuona jinsi wananchi wa huko walivyokuwa na simanzi nzito mithili ya kuwa wameondokewa na...
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Regina Rweyemamu aliyefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.