Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19. Je, kwa sasa CHADEMA imeamua kujikita...
0 Reactions
14 Replies
905 Views
Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Tanzania imeingia kwa kasi kwenye e-service lakini imekosea kufanya miradi hii bila kuwateua wasimamizi wazuri. Ipo mifumo tunayotumia ambayo ukiiangalia tu wakati unaanza kuomba huduma au...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mtu mweusi ni noma sana!Usipojua tena ni kwa nini ni vyema na haki kwa mtu mweusi kubaguliwa basi utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili. Imagine watu wanakufa kwa wingi kwa Corona lakini...
42 Reactions
231 Replies
19K Views
Ni swali najiuliza tu. Kuna wanasome tusiogope chochote wakati hata wakisimama kuongea wanakuwa na mwanajeshi nyuma! Sasa kama kweli huohopi kwanini wanajeshi kila mahali. Kama kweli viongozi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Duniani tupo watu wa aina zote kwenye makundi yote: Kuna madereva wazuri na madereva wabaya. Kuna madaktari wazuri na madaktari wabaya. Kuna wanasheria wazuri na wanasheria wabaya. Kuna marais...
3 Reactions
2 Replies
624 Views
Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya...
23 Reactions
248 Replies
17K Views
Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Sayansi huwa haikopeshi. Ukiichezea inakuumbua, maana sayansi kama Mungu alivyo, sayansi ni UKWELI. Hatuwezi kuudhibiti ukweli, hata uwe na nguvu kubwa sana ya kisiasa. Tunajua kuwa kuna tatizo...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Taarifa ya WHO inasema kuwa maambukizi ya corona kwa wiki hii pekee yameshuka kwa 16%, na vifo kwa wiki hii pekee vimeshuka kwa 10%. Tuiangazie Israel kama mfano wa kuigwa. Israel ni Taifa dogo...
42 Reactions
127 Replies
9K Views
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi. Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Binafsi niliamini Naibu Spika Dkt. Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali. Nijuavyo mazishi siyo...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Haishangazi, kwa nini, pamoja na Uingereza kuwa na watu wengi mashuhuri kama vile Malkia Elizabeth , Shakespear na Darwin, kila inapoitishwa kura ya kusaka jina la Mwingereza mashuhuri kuliko...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatuwezi tukabishana hadi kuku warudi bandani kwamba Chadema bado ni chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania hata kama hakina kinara wa upinzani. Hata hivyo lazima Chadema kitafakari kwa kina na mapana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana jamvi.jf Kutokana na utumishi uliotukuka wa Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Dr Allan Kijazi katika kuongoza taasisi nyeti ya umma yaani TANAPA bila dosari zozote, aidha, Kutokana na kuboronga kwa...
5 Reactions
80 Replies
14K Views
Jana kwa nasibu nilibahatika kuangalia taaarifa ya habari ya TBC! Bila Shaka taariffa hiyo ilimpa nafassi kubwa Sana Marehemu,kuanzia historia Hadi utumishi ambao wao waliuita uliotukuka! Ila Cha...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbali ya kusoma na kuandika somo la afya, usalama binafsi na pahala pa kazi na ujasilia mali lipewe nafasi kubwa. Itasaidia kupunguza maradhi, uelewa mpana mapema zana ya ujasiliamali. Binafsi...
3 Reactions
7 Replies
825 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana jukumu kubwa la kumuenzi Balozi John Kijazi kwa kutenda yale yote mema aliyokuwa akitenda. Aidha, amesema jukumu jingine ni kuendelea kuiombea...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Sisi wananchi tunaitaka serikali isikwepe majukumu yake ya kulinda afya za wananchi wake Ni wajibu wa serikali kuwa wazi na kuanzisha kampeni ya kupambana na korona awamu ya pili Tunaitaka...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Umuofia wanajukwaa! Kwanza kabisa nitoe masikitiko yangu makubwa sana kwa chama cha madaktari Tanzania MAT, sikutegemea kuona kua hiki ni taasisi iliyojaa unafki mwingi na kujipendekeza. Haina...
9 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom