VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,175
Mbali ya kusoma na kuandika somo la afya, usalama binafsi na pahala pa kazi na ujasilia mali lipewe nafasi kubwa.
Itasaidia kupunguza maradhi, uelewa mpana mapema zana ya ujasiliamali.
Binafsi nimejifunza usalama pahala pa kazi ukubwani kiwanda cha saruji.
Leo hii barakoa inaonekana kitu cha ajabu tunashikiwa akili na viongozi?