Kwa sasa CHADEMA inafuata sera gani au ni hii ya mapambano dhidi ya Covid 19?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,362
138,513
Kwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19.

Je, kwa sasa CHADEMA imeamua kujikita zaidi kwenye sekta ya afya na vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza?

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama.
 
Kwa sasa sera ya chadema ni..

1. Tanzania watu wanadondoka hovyo kwa corona
2. Tanzania corona imejaa
3. Rais Magufuli anaua watu kwa corona

Bila shaka kwa sera hizi, 2025 Lisu atapata 98%.
 
Chadema ni kama waTanzania wengine wanaowakumbusha watawala kuwa hii nchi ni ya wote na kila aliyemo ana haki sawa bila kujali asili yake, dini yake, au kabila lake....anastahili kwa sababu ni Mtanzania........Watawala wataondoka lakini Tanzania itabaki......
 
Kwa sasa sera ya chadema ni..

1. Tanzania watu wanadondoka hovyo kwa corona
2. Tanzania corona imejaa
3. Rais Magufuli anaua watu kwa corona

Bila shaka kwa sera hizi, 2025 Lisu atapata 98%.

Uwezi ukakuta ujinga kama huu kwa wazungu,wachina etc

Yani kuna kundi linataka watu wafe wa kudhani wanaweza kufanikiwa kwa kupata maendeleo? Pia kuna kundi ilinataa kutetea wanachini ili wasife!

Katika nchi za wazungu uwezi kukuta mwili wa mzungu umeokota msitini wala barabarani au kupenda watu wafe kwa kiasi kikubwa, sasa nchi hizi za kiafrika viongozi wanataka watu wafe!!
 
Kabisa mkuu, huwezi kukuta ujinga kama huu wanaofanya chadema hapa kwetu.

Marekani na Ulaya pamona na kuwa na vifo karibu 2000 kila siku lakini huwezi kukuta raia wapinzani wa selikali iliyoko mdarakani wakishabikia, kukuza na kupotosha jambo kwa manufaa yao ya siasa.
 
Wewe uliambiwa na nani kuwa corona ipo Tanzania?
 
Pamoja na kujaribu kila njia kuhakikisha CCM na watawala wake hawapingwi kwenye ulingo wa siasa wala kupashana habari, still CDM imekuwa ndoto ya kutisha kwa CCM na Serikali yake, binafsi huwa nawaambia watu wa CCM, ishu sio CDM, hembu tazameni sera zenu juu ya vijana, hasa elimu na ajira, hapo ndio mutajua kitu gani kinawatesa.
 
Kwa sasa sera ya chadema ni..

1. Tanzania watu wanadondoka hovyo kwa corona
2. Tanzania corona imejaa
3. Rais Magufuli anaua watu kwa corona

Bila shaka kwa sera hizi, 2025 Lisu atapata 98%.
mkuu unapata tabu sana kutetea viongozi wajinga!
 
Kwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani Chadema kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19.

Je, kwa sasa Chadema imeamua kujikita zaidi kwenye sekta ya afya na vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza?

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama.
Hakuna wa kulaumu mwaka huu😂😂 Watanzania wanajua ukweli. Sasa tafuteni suluhu ya ugojwa sio kupoteza muda kutafuta Chadema 😂😂 si mlisema wanazuia maendeleo
 
Kwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani Chadema kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19.

Je, kwa sasa Chadema imeamua kujikita zaidi kwenye sekta ya afya na vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza?

Nawatakia Kwaresma yenye baraka!

Maendeleo hayana vyama.
Wewe unatakaifuatwe sera ipi,ya barakoa au ya Bila barakoa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom