Ni swali najiuliza tu. Kuna wanasome tusiogope chochote wakati hata wakisimama kuongea wanakuwa na mwanajeshi nyuma! Sasa kama kweli huohopi kwanini wanajeshi kila mahali. Kama kweli viongozi hawaogopi chochote basi tusipoteze pesa za wananchi kulinda mpaka na mahilikopya wakati wanafunzi hawana madawati na Mungu ana walinda.
Watu wanaaibishwa kwa kuvaa barakoa kujikinga lakini wanaambiwa wakienda nyumbani walale kwenye neti kujikinga na malaria! Kwanini kulala kwenye neti isiwe kitu cha aibu kwani tunaogopa nini?
Sisi wenyewe hapa tuna machanjo chungu nzima tumepigwa tukiwa watoto hata sasa serikali ina shauri watoto waende kupigwa chanjo ambazo zinatoka makampuni ya mabeberu. Makampuni hayahayo tunajifanya kama vile sasa wanataka kutuuwa wakati Watanzania 100% ya watu wazima wanachanjo kwanini wasingetuua wakati huo miaka hiyo yote?
Tusidanganyike tujikinge na tupiganie chanjo hao viongozi wataishia kujichanja wenyewe kwa siri tusipokuwa makini.
Sasa eti anasema mtoto wangu, wadogo zangu na wengi wamepata na kupona sasa mbona tena ulituambia corona haipo!! au wote hawa walipata kabla? Kuna dalili
Za kupunic na kutokujua anachokiongea. Si kweli kwamba Dunia inatutakia mabaya! Muda mwingi ni fikra zetu wenyewe za kutokujiamini.